Mkurugenzi Habari Maelezo atibuwa waandishi Mwanza

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
842
2,467
Nimetonywa kuwa kiburi cha hawa maafisa wa serikali Leo kimekutana na kigingi huko Mwanza baada ya Mkurugenzi wa Habari na Maelezo Dr Abassi kuachwa solemba na Waandishi wa Habari.

Habari ambazo zimedhibitishwa ni kuwa Dr Abassi aliwaalika Waandishi wa Habari wa Vyombo vyote jijini hapo na wao waliitikia wito huo SAA 5 kamili.

Lakini kutokana na jeuri ya viongozi wetu aliwaacha wakae wakimsubiri nje bila taarifa kwa masaa mawili.

Waandishi walikuja wakitegemea kuzungumza na msemaji wa serikali hasa katika kipindi hiki cha majonzi na kupata juu ya serikali imepanga nini LA kufanya ili wananchi wajue.

Hata hivyo Waandishi hao waliamua kumuacha kutokana jeuri yake na kuendelea na majukumu mengine.

Nakumbuka Kangi Lugola alimfukuza Bosi wa Magereza kwa kuchelewa kikao dakika 5, huyu anawaacha nje saa mbili wajumbe wa kikao jee nani amwajibishe na yeye?
 
Umbea.
 
Hao Waandishi ni Wabongo?

Alafu waondoke wote, labda ungesema wawili au watatu ndio waliamua kuondoka.
 
Back
Top Bottom