Kwani leo hapa ubungo kuna nini?

Kwani leo hapa ubungo kuna nini?

Mida ya Saa Moja nimevuka barabara hapo Mataa Aisee tulikaa kama Dk 10 tukisubiri magari yanayoruhusiwa kupita njia ya Morogoro Road nadhani hakukuwa na tatizo labda yule Trafik ndio aliyekuwa anazingua
 
Amezingua sana. Masaa mawili nipo kwenye foleni
 
Jamaa mm alinikera sana hajui kubalance pande zote yeye anaruhusu magari ya upande mmoja tu alafu wala hakukuwa na Msafara wa kiongozi cjui jamaa atakuwa alikuwa yupo field ajazoea bado
 
Polen watu wa dar kwa adha za usafiri..mkoan sahv tumeshalala mdaa
 
Sometimes wanakua wanakomoa tu
 
Polen watu wa dar kwa adha za usafiri..mkoan sahv tumeshalala mdaa
Wewe utakua mtu wa Mwanza ambako giza kidogo tu mkuu wa mkoa ambae pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa anatangazia raia na askari wakalale. Nasikia Mwanza saa hii kila mtu ni fofofo hata mkuu wa mkoa. Bure kabisa nyie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom