Kwa muda mrefu kituo hiki matangazo na picha haziridhidhishi hata kidogo.
Mikwaruzo ya picha na kigugumizi cha sauti vinatawala kwenye taarifa ya habari mara kwa mara.
Jirekebisheni
Naamini hii ni mada tete na kwa ujumla sitaingia sana ndani ila sababu kubwa ya kuandika ninachokiandika ni haya ninayoyaona machoni kwangu.
Kiongozi wa umma analindwa na walinzi wenye silaha...
Wapendwa, Tanroads sasa warekebeshe hili, Muda mrefu watu wapeiga kelele lakini wapi!! ukiwa unatokea mikoani barabra ya Morogoro Ukishapita kibanda cha mjaa kituo kinachfuata kimeandikwa...
inawezaka kkabisa ni maoni yangu binafsi...laikini kama ajaliimetokea kabla ya mechi na kweli idadi ya waliopoteza maisha nia zaidi ya makumi nadhani busara ingetumika mechi ikasogozwa mbele...aiseee
Habari
Watu wengi inasemekana wana matatizo mengi lakini hawatafuti utatuzi baadae inakuja kuwa shida kubwa
Matatizo ya ugonjwa wa akili sio lazima kuona mutu anatembea na makopo na kuongea kwa...
Kabla ya salaam kwanza ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mada husika halaf salaam itafuata baadae. Tusameheane kwa hilo.
Nikiwa kama mlipa kodi katika nchi yangu nasema hivi, nina haki ya...
Ni kweli kabisa kwamba kama kuna ‘ mshirika ‘ mwema na pengine mkweli kwa sasa kwa Waafrika na bara zima la Afrika basi atakuwa ni Mchina ( au nchi ya China ) lakini kadri siku zinavyoenda inaanza...
Lengo kuu la serikali kupandisha bei za pombe na sigara miaka yote haikuwa kuongeza mapato tu, la hasha, bali ni kuzuia wananchi wasijiue. Mpenzi wa zamani wa Diamond anaelezea zaidi.
Wakati kukiwa na usemi mwamba ngozi huvutia kwake, imekuwa kinyume chake Kiteto kwa Diwani wa kata ya Kibaya, Kassimu Msonde kutotambua mradi wa elimu uliojengwa kata yake.
Mradi huo unahusisha...
Ndugu wana diaspora,
Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?
Nina rafiki zangu watatu walirudi...
Je, tukiangalia depreciation ya shillingi tangu mwaka 2006 uwanja ulipojengwa, kuna uwiano na uhalisia au tumepigwa?
Maana kwa kuangalia kwa haraka haraka zinatoka flyover kama 5 hivi kwenye huo...
Zanzibar. Polisi katika Mkoa wa Mjini Magharibi wanamshikilia Muhammed Juma Muhammed kwa tuhuma za kumtia mimba binti yake wa kambo mwenye umri wa chini ya miaka 18.
Hata hivyo, kamanda wa Polisi...
Aliyekuwa M/Kiti na Muasisi wa CHADEMA Wilayani Lushoto Ndugu Zuberi Dhahabu amefariki dunia jana majira ya saa saba mchana. Ndugu Dhahabu aliugua muda kwa mrefu tangu mwaka 2010 baada ya kupata...
Habari wakuu,
Madereva wanaofanya biashara ya Uber(Madereva wa Mtandaoni) jijini Dar Es Salaam, Wamekutana katika Viwanja vya Leaders Club kuongelea matatizo yao.
Kikubwa wanacholalamikia ni...
Mimi ni mmoja wa watu waonyolea nywele saloon za kiume ila nakerwa na yafuatayo kwenye saloon hizo
1. Kuulizwa kila siku ninayoenda kunyoa kama nataka scrub. Ingekuwa ni mara ya kwanza au ya pili...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa James Mdoe ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano Mkuu wa 62 wa kimataifa wa kuendeleza matumizi salama ya nguvu za nyuklia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.