Aisee hakuna kitu kibaya kwenye maisha Kama kupata ajali maana nyingi hubadilisha kabisa maisha watu na kuacha Majonzi mazito...!! Nakumbuka mwaka 2016 siku ya sherehe ya Eid Elfitr aisee nilikuwa...
Habarini wadau...naulizia kama kuna mtu anayefahamu lodge yoyote maeneo ya msasani au maeneo karibu na mayfairplaz
........Mrejesho...hatimaye wakuu yule demu niliweza kumla...ilipofika mchana...
1.rais wa Tanzania
2.makamu wa rais wa Tanzania
3.Rais wa zanzbar
4.waziri mkuu
5.makamu wa rais wa pili wa zanzbar
6.mkuu wa majeshi CDF
7.mkuu wa polisi IGP
8.mkuu wa magereza CGP
9.chief of...
Nimewasikia baadhi ya mawaziri na mkuu wa mkoa wa Mwanza wakisisitiza kuwa tuchangie wahanga wa ajari hii!.
Hapa tatizo si kuchangia,tatizo ni matumizi ya michango hiyo hasa hasa tukikumbuka...
Mahakama Kuu imeitaka Pride Tanzania kuilipa Benki ya CRDB zaidi ya Sh12 bilioni zilizotokana na mkopo.
Pride Tanzania ilichukua mkopo kwa jina la Promotion of Rural Initiatives and Development...
Miaka 22 iliyopita Tanzania ilipoteza zaidi ya watu 900 kwenye ajali moja ya kuzama Mv Bukoba.
Meli iliyosajiliwa kubeba watu around 450 ilibeba watu mara mbili au zaidi ya idadi hiyo...
Hapa sipo kuzungumzia matukio bali nipo kuzungumzia maana ya hili tamko.
Nikijaaliwa nitakuwa nachagua miongoni mwa tabia mbaya na kuleta maana zake kwa ufupi,huku nikiachia wadau watiririke...
Shirika la maendeleo ya Taifa NDC linakusudia kuleta matrkta Kiteto kwaajili ya shughuli za kilimo
Lengo la matrekta hayo ni kutaka kurahisisha shughuli za kilimo wayani Kiteto ambapo ina...
Habari wakuu,
Moja ya waliofariki MV Nyerere ni Ndugu au Jamaa wa karibu wa Mwl. Iddi Tlaghasi Hera, sifahamu Shule anayofundisha hapo Arusha,ila kama unamfahamu plz niPM namba zake. Marehemu...
Nimetonywa kuwa kiburi cha hawa maafisa wa serikali Leo kimekutana na kigingi huko Mwanza baada ya Mkurugenzi wa Habari na Maelezo Dr Abassi kuachwa solemba na Waandishi wa Habari.
Habari ambazo...
WANAWAKE wawili ambao ni mtu na shangazi yake, Kija Lushanga (70) na Pendo (40) ambaye jina la baba yake halikufahamika mara moja wamekutwa wamefariki dunia huku viungo mbalimbali vya miili yao...
Kwanza poleni watanzania wote kwa kufikwa na janga hili kubwa lililositisha ndoto nyingi za wana Ukerewe.
Tunapopiga kelele juu ya usimamizi mbovu wa kivuko je kwanini tunasahau waliofanya...
Nawatafuta jamaa zangu Ndg. Johnson Magawa, Godfrey Pallangyo na Pantaleo Zacheo(aka Mkangara) pamoja na George Kafuka nilisoma na kumaliza nao Astashahada ya Ufugaji Nyuki katika Chuo cha Nyuki...
Habàri wana JF. Kwanza nitoe pole kwa kila alieguswa na msiba huu mkubwa kwa Taifa letu. Pia nitoe lawama zangu kwa Aliesitisha Uokoaji eti kwa kuhofia giza.
Leo nimesafiri na Baba yangu mzazi...
Baada ya ‘ Mpendwa Mamlaka ‘ juzi kutoa ‘ Fumbo ‘ kwa Mwenzake kwa ‘ Kutupia ‘ picha ya Gari aina ya Benz KuuKuu / Chakavu ikiwa imekwama kwa Siku nne ( 4 ) sasa na kumtaka mwenye nayo akaichukue...
Wajuzi Naomba kujuzwa kuhusu utajiri,
kujikimu, kuwa na milioni kadhaa kwa akaunti, nyumba kadhaa, magari kadhaa, biashara kukunyookea, baada ya kusaka kwa muda
Ni baati
Ni mipangilio ya kazi...
Naomba msaada wa namna ya kupata zip-code, nilikuwa najisajiri kwenye website fulani nimeshindwa kuendelea next step sababu ya kukosa hiyo zip code....
My location Dodoma
Hapo vip!
Jana nilifanya muamala fulani wa kutoa pesa zangu kupitia PESAFASTA katika Bank ya NMB lakini baada Ya pesa kutoka kwenye account yangu Ya bank then nikapata sms Ya confirmation yenye...