Baada ya ‘ Mpendwa Mamlaka ‘ juzi kutoa ‘ Fumbo ‘ kwa Mwenzake kwa ‘ Kutupia ‘ picha ya Gari aina ya Benz KuuKuu / Chakavu ikiwa imekwama kwa Siku nne ( 4 ) sasa na kumtaka mwenye nayo akaichukue...
Wajuzi Naomba kujuzwa kuhusu utajiri,
kujikimu, kuwa na milioni kadhaa kwa akaunti, nyumba kadhaa, magari kadhaa, biashara kukunyookea, baada ya kusaka kwa muda
Ni baati
Ni mipangilio ya kazi...
Naomba msaada wa namna ya kupata zip-code, nilikuwa najisajiri kwenye website fulani nimeshindwa kuendelea next step sababu ya kukosa hiyo zip code....
My location Dodoma
Hapo vip!
Jana nilifanya muamala fulani wa kutoa pesa zangu kupitia PESAFASTA katika Bank ya NMB lakini baada Ya pesa kutoka kwenye account yangu Ya bank then nikapata sms Ya confirmation yenye...
Leo nilikuwa sehemu fulani ni ofisi ya serikali,nikawa naangalia kisanduku kimeandikwa ''SANDUKU LA MAONI''hivi kuna mtu kweli huwa anatoa maoni yeyote kwenye haya masanduku na kufanyiwa kazi?ni...
Habari wakuu,
Kwanza niwe muwazi kwamba sijui lolote kuhusu mambo ya ndani ya maji, hata ikitokea siku nikirushwa ndani ya maji nahisi nitateremka chini kama jiwe.
Niende kwenye mada au swali...
Waungwana nimekuja kwenu kutaka ushaur,nina binti amehitimu Form 4 na kwa bahati mbaya hakuchaguliwa kuendelea kidato cha 5 kama ambavo mimi nilivyotarajia.
Sasa basi nikiwa mzazi inaniumiza...
Soko la biashara ya nyama maarufu la 'malapulapu', limeshika kasi katika machinjio ya nyama Ukonga Mazizini jijini Dar es Salaam, baada ya wafanyabiashara wa Kichina kuanza kuinunua kwa wingi ili...
Watanzania bhana yaani hata Maziko bado na bado Miili mingine inaendelea Kutafutwa Ziwani tayari Watu ndani ya Saa 24 wameshatunga Wimbo ili kuja ' Kupiga ' Hela. Jamani ' sometimes ' muwe mnaona...
Habar za mda huu,
Nimenunua plot maeneo fulani hapa dar ila napata tabu jinsi ya kubadilisha jina ya mmiliki wa eneo, Ni hatua gani natakiwa nizifate ili niweze kubadilisha jina. Nina mikataba...
Habari wana forum nimemsikia Rais akitangaza siku 4 za kitaifa za maombolezo.
Je, Sherehe za individuals au za makundi ie send off, kitchen party , wedding, kipaimara bado zitaendelea kama...
Natumai wakristo wanasherekea dominika nyingine katika calender ya shajara huku waislamu nao wakipumzika kusubiria wiki ianze tupambane kutafuta ugali wa familia.
Kuna jambo linasikitisha sana...
kama kichwa cha habari kinavyojielezea nakaribia kuivisha matikiti nov 10 mwaka huu nqhitaji kusafirisha mwenyewe hadi Nairobi niuzie pale inaonekana soko la tikiti ni zuri kuna wakenya wanakuja...
Katika hali isiyo ya kawaida, ninashangazwa sana na baadhi ya mambo yanayotokea nchini kwetu;
1. Hivi ni kweli ajali inapotokea taarifa kamili ya watu waliokuwemo haijulikani?, rekodi za tiketi...
Michezo inamsaidia mtoto kupanua wigo wa kufikiri, kushirikiana na wenzake, kujenga misuli, kuijua dunia inayomzunguka na mengi mengineyo.
Bahati mbaya ni kuwa katika maendeleo ya binadamu...
Meli nyingi huzama taratibu hivyo kutoa wasaa Kwa watu wa uokoaji kugawa maboya Kwa wasafiri
Lakini siku za hivi karibuni tumeshuhudia meli zikipinduka badala ya kuzama,nikitumia id ya mwibamwiba...
Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, mkazi wa kijiji cha Buziba kata ya Nyarugusu mkoani Geita anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuingilia kimwili mara kwa mara mtoto wake wa kike...
Watu wameomba kiwekwe choo cha kusimama kwenye public toilet hamsikii, kweli hii ni haki uongozi tena wenye dhamana ya kusimamia afya za watu.
Choo cha public hygienically hakifai kuwa cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.