Zip code, msaada tafadhari

Zip code, msaada tafadhari

AfroMonster

Member
Joined
Jun 7, 2018
Posts
69
Reaction score
83
Naomba msaada wa namna ya kupata zip-code, nilikuwa najisajiri kwenye website fulani nimeshindwa kuendelea next step sababu ya kukosa hiyo zip code....
My location Dodoma
 
Tanzania hatuna ZIP codes. Tunatumia postal codes. Kwa Dodoma ni 41103. Anyhow kama huna uhakika wa zip code siku nyingine weka sifuri tano.
 
Kuwa muwazi tukusaidie unataka hiyo zip code kwa ajili gani??unataka kuagiza kitu kiende kwenye hiyp address au unajiregister tu hamna unachonunua??kama hauna unachonunua then weka 0000 kwenye hilo box wanasema zip code kama unaagiza kitu then inabidi ujuwe zip code ya ukweli ili mzigo wako uende kwenye address ya uwakika na mzigp ufike salama
 
Siagizi chochote mkuu, just kuregister... asante nitajaribu
 
Back
Top Bottom