Je, nimemkosea Baba yangu? Nishauri nifanye nini

Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,683
2,906
Habàri wana JF. Kwanza nitoe pole kwa kila alieguswa na msiba huu mkubwa kwa Taifa letu. Pia nitoe lawama zangu kwa Aliesitisha Uokoaji eti kwa kuhofia giza.

Leo nimesafiri na Baba yangu mzazi kutoka Dar kwenda Morogoro nikimuendesha kwa gari lake binafsi
Hii safari niliijua Tangu mwanzo wa wiki hii, kwani nilipewa Taarifa ya harusi ya ndugu yetu wa karibu anayeishi Morogoro. Hivyo mzee aliniomba tuambatane naye kwenye safari. Hivyo baada ya kumaliza mishe zangu za wiki jana jioni ijumaa nilirudi home ili leo tuanze safari.

Mzee wangu ni mtu mzima 55 + age. Na pia ni Mtumishi wa mungu/ Mchungaji. Ni mtu wa dini sanaaaa.

Baada ya kufika home jioni nikachukua flash disk yangu na nikaandaa playlist yangu yenye nyimbo za blues za Westlife, Backstreet boys, na nyingine za blues.

Asubuhi tualivyo amka na kunywa chai tukasali na kuanza Safari. Nikatoa flash ya mzee na kuweka flash yangu kwenye player ya gari. Mziki ukawa unatusindikiza huku tukiwa na mazungumzo ya hapa na pale.

Baada ya kufika Mlandizi mzee akasema amependa sana hizi nyimbo. Akaniuliza ni nyimbo za namna gani? Kwani hazijui. Nikamwambia ni nyimbo za dini za huko marekani na ulaya. Hakuonesha kushtuka ila akasema wanaimba vizuri sana hivyo anaomba nimuwekee kwenye flash yake na yeye awe anazisikiliza. Nikamjibu sawa.

Sasa kama unavyojua hizi nyimbo ni za mapenzi tena deep love so nahofia mzee akiwa anazisikiliza na watu wake wa karibu hasa watumishi wenzie je watamuonaje??

Naomba nipe ushauri nifanye nini?

Anasema tena amependa sana hizi nyimbo
1. Queen of my heart
2. My love
3. fool again
4. you raise me up
5. I have a dream
6. Swear it again
7. Unbelievable
Na nyingine
 
Hahaha
1. Queen of my heart- means marry mother of Jesus
2. My love- you are in love with Jesus
3. fool again- Satan can't make you fool again
4. you raise me up- Jesus raised you
5. I have a dream- that you enter in heaven
6. Swear it again- Jesus's job
7. Unbelievable- that you are still alive

Mkuu wewe ndio umemdanganya kuwa ni nyimbo za dini za ulaya...sasa pambana na hali yako either umwambie ukweli au ukomae aaibike siku moja..

Lkn kumbuka uongo unakupa ushindi wa siku moja tu na ukweli unadumu
 
Habàri wana JF. Kwanza nitoe pole kwa kila alieguswa na msiba huu mkubwa kwa Taifa letu. Pia nitoe lawama zangu kwa Aliesitisha Uokoaji eti kwa kuhofia giza.

Leo nimesafiri na Baba yangu mzazi kutoka Dar kwenda Morogoro nikimuendesha kwa gari lake binafsi
Hii safari niliijua Tangu mwanzo wa wiki hii, kwani nilipewa Taarifa ya harusi ya ndugu yetu wa karibu anayeishi Morogoro. Hivyo mzee aliniomba tuambatane naye kwenye safari. Hivyo baada ya kumaliza mishe zangu za wiki jana jioni ijumaa nilirudi home ili leo tuanze safari.

Mzee wangu ni mtu mzima 55 + age. Na pia ni Mtumishi wa mungu/ Mchungaji. Ni mtu wa dini sanaaaa.

Baada ya kufika home jioni nikachukua flash disk yangu na nikaandaa playlist yangu yenye nyimbo za blues za Westlife, Backstreet boys, na nyingine za blues.

Asubuhi tualivyo amka na kunywa chai tukasali na kuanza Safari. Nikatoa flash ya mzee na kuweka flash yangu kwenye player ya gari. Mziki ukawa unatusindikiza huku tukiwa na mazungumzo ya hapa na pale.

Baada ya kufika Mlandizi mzee akasema amependa sana hizi nyimbo. Akaniuliza ni nyimbo za namna gani? Kwani hazijui. Nikamwambia ni nyimbo za dini za huko marekani na ulaya. Hakuonesha kushtuka ila akasema wanaimba vizuri sana hivyo anaomba nimuwekee kwenye flash yake na yeye awe anazisikiliza. Nikamjibu sawa.

Sasa kama unavyojua hizi nyimbo ni za mapenzi tena deep love so nahofia mzee akiwa anazisikiliza na watu wake wa karibu hasa watumishi wenzie je watamuonaje??

Naomba nipe ushauri nifanye nini?

Anasema tena amependa sana hizi nyimbo
1. Queen of my heart
2. My love
3. fool again
4. you raise me up
5. I have a dream
6. Swear it again
7. Unbelievable
Na nyingine
Aisee kumbe mzee wako hajui kiingereza kama mimi na yule kichaa
 
Hahaha
1. Queen of my heart- means marry mother of Jesus
2. My love- you are in love with Jesus
3. fool again- Satan can't make you fool again
4. you raise me up- Jesus raised you
5. I have a dream- that you enter in heaven
6. Swear it again- Jesus's job
7. Unbelievable- that you are still alive

You are hilarious genius
 
Hapo mzee akibisha Basi aache to uchungaji
 
Huyo baba yako sidhani kama ni kweli hazijui hizo nyimbo kutokana na umri wake,kitendo chako cha kumuongopea ni kibaya sana japo najua anajua,

Kwanini hukumwambia ukweli? Lengo lako la kumuongopea lilikua ni lipi hasa? Usidhani kua umemuongopea huyo baba bali umejiongopea wewe mwenyewe tu,nadhani alikua anakusoma tu ili safari iendelee kwa amani.
 
Muwekee tu ili apime malezi yake kwa wanawe hasa wewe siku atakapojua zinahusiana na nini, hapo ndio atajua mchungwa unaweza pandikizwa mlimao na yakazaana. Itamsaidia kujua kuwa ni rahisi kukiona kipande cha mti ktk jicho la mwingine wakati lake lina boriti. Haki atajifunza sana.
 
Kwani mapenzi ni dhambi?ni imani yangu kuwa wanaongelea upendo,na maana ya dini ni upendo,so you`re right bro,binafsi sijaona ubaya wowote,tunawatakieni harusi njema huko,usisahau kupitia pale katikati ya mji kwa ajili ya ile huduma ya biashara kongwe duniani..
 
Huyo baba yako sidhani kama ni kweli hazijui hizo nyimbo kutokana na umri wake,kitendo chako cha kumuongopea ni kibaya sana japo najua anajua,

Kwanini hukumwambia ukweli? Lengo lako la kumuongopea lilikua ni lipi hasa? Usidhani kua umemuongopea huyo baba bali umejiongopea wewe mwenyewe tu,nadhani alikua anakusoma tu ili safari iendelee kwa amani.
Mkuu kama angekuwa anazijua asinge omba. Mm niliona niseme za dini ili tuende sawa. Sasa sikujua kama angefikia hatua hii ya kuzitaka hizi nyimbo
 
Kwani mapenzi ni dhambi?ni imani yangu kuwa wanaongelea upendo,na maana ya dini ni upendo,so you`re right bro,binafsi sijaona ubaya wowote,tunawatakieni harusi njema huko,usisahau kupitia pale katikati ya mji kwa ajili ya ile huduma ya biashara kongwe duniani..
Mkuu ukisema hivyo means hata nyimbo za kibongo za mapenzi za akina ainama inama asikilize.

Mkuu kwa leo biashara kwengwe sitapitia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom