Naona ‘ Vita ‘ ya ‘ Kimafumbo ‘ kati ya ‘ Wapendwa ‘wawili wa JPM inaendelea kila mmoja kwa namna yake!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,882
Baada ya ‘ Mpendwa Mamlaka ‘ juzi kutoa ‘ Fumbo ‘ kwa Mwenzake kwa ‘ Kutupia ‘ picha ya Gari aina ya Benz KuuKuu / Chakavu ikiwa imekwama kwa Siku nne ( 4 ) sasa na kumtaka mwenye nayo akaichukue hatimaye leo hii ‘ Mpendwa Media ‘ kupitia ‘ Media ‘ yake pendwa nchini Tanzania nae ameamua kujibu mapigo kwa kuanza Kupiga Nyimbo yenye ‘ Mafumbo ‘ makubwa sana ya Msanii Bushoke ambapo sehemu ya maneno ya huo Wimbo yanasema..dunia tunapita…kwanini tunagombana wenyewe kwa wenyewe….” ukienda peponi hutoenda na hizo pesa zako / utajiri wako….watu wengi walioko jela hawana hatia…”

Ngoja niagize kabisa Kinywaji changu pendwa Ng’ang’asu / Gongo na Karanga ili taratibu nianze Kunywa na Kutafuna huku nikiiangalia hii ‘ Sinema ‘ kali ambayo naambiwa imemshinda hata ‘ Mpendwa wao Mkuu ‘ kutokana na kwamba anafaidika kwa 100% na kila mmoja wao na kwa wakati wake hivyo hajui ‘ aegemee ‘ wapi na sasa Kichwa kinamuuma.

Kazi ipo!

Nawasilisha.
 
We jamaa mwezi huu unaisha kwa kuandika ujinga ujinga tu
Unaandika mambo ya kike kike tu
Umeandika ujinga kuhusu Zitto na Jwtz saivi umeandika habari inayotakiwa kuandika na akina mwajuma

Nasubiri kwa hamu sana maamuzi ya JWTZ dhidi ya ' Twiti ' ya Zitto Kabwe kwa kuvitaja vifaa vyao vya Siri Ngerengere - JamiiForums
 
Back
Top Bottom