Nawatafuta hawa

Mabobish

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
366
280
Nawatafuta jamaa zangu Ndg. Johnson Magawa, Godfrey Pallangyo na Pantaleo Zacheo(aka Mkangara) pamoja na George Kafuka nilisoma na kumaliza nao Astashahada ya Ufugaji Nyuki katika Chuo cha Nyuki Tabora Mwaka 1993. Tangu wakati huo I.e 1993 hatujapata kuwasiliana na kila mmoja wetu hajui mwenzake alipo. Tafadhali kwa mwenye kujua habari za hawa Wandugu tujuzane kupitia Uzi huu
 
Kumbe kama shoga mi nilijua anakuwa shoga.Punguza stress ndugu la sivyo kila utakaemuona utahisi anakuzomea
Kuwa nwanaume acha mambo ya kike kike. Kwani ukipita kimya kimya utapungikiwa nini?
 
Nawatafuta jamaa zangu Ndg. Johnson Magawa, Godfrey Pallangyo na Pantaleo Zacheo(aka Mkangara) pamoja na George Kafuka nilisoma na kumaliza nao Astashahada ya Ufugaji Nyuki katika Chuo cha Nyuki Tabora Mwaka 1993. Tangu wakati huo I.e 1993 hatujapata kuwasiliana na kila mmoja wetu hajui mwenzake alipo. Tafadhali kwa mwenye kujua habari za hawa Wandugu tujuzane kupitia Uzi huu

Ungesema na wewe jina lako kamili hapa huwenda tupo ila hatujui wee nani wengine hatupendi kuingia huko pm
 
Back
Top Bottom