Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar za leo ndugu wanajukwaa, Kwenye mada moja kwa moja;sote tunaoamini tunafaham kuwa shetani alikuwa ni malaika wa sifa huko mbinguni (alikuwa muimbaji) baadae alipotaka kuichukua nafasi ya...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kamati iliyoundwa kuchunguza chanzo cha ajali ya kupinduka chombo cha MV Nyerere inaweza kuwa imeishaanza kazi yake tangu ilipotangazwa au kama nilivyosoma kwenye makala moja inaanza kazi yake...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza hongera sana kwakupewa hiyo nafasi sinashaka na utendaji wako,umekuwa,diwani wa kata ya muleba mjini kwa zaidi ya miaka15,mhamasishaji uvccm,n.k na sasa katibu wa chama cha mapinduzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna wasichana.wanatangazwa sana kuwa ni warembo wakiwemo akina miss Danganyika na akina Ubaya Spade wanaojinasibu eti ni ma sweet Afrika kama alivyosema bashite lakini wote muda wote utakuta...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
1/Kwanza hapa duniani tunapita! Hili unapaswa ulifahamu mapema... shida, raha na uzuri au takataka zote za ulimwengu utaziacha na kwenda huko unakostahili (Mbinguni an motoni). 2/Utumie muda wako...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Kweli, kati ya makundi jamii yenye kushirikiana vizuri katika field yao ni walevi. Though upendo huo una gharama, ukizungushiwa nawe ujue kuzungusha(that is fact). Hata hivyo ni AIBU, wewe...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Naomba ufafanuzi kwa wajuzi na wataalamu wa Lugha adhimu ya Kiswahili,juu ya maneno haya, mbwa na nje.kwann huandikwa tofauti na yatamkwavyo,kwann yasingeandikwa mmbwa au nnje..nijuzeni wadau...
2 Reactions
3 Replies
778 Views
Muziki ni Utanzu wa Sanaa unaotumia sauti ambazo hugusa Hisia za Watu. Dhima ya Muziki ni Kuburudisha, Kuonya, Kuelimisha na Huleta Tumaini. Miye nikiwa na miaka 6,7,8 nilikuzwa na miziki mfano...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za wakati huu jamani tuiombe serikali ya jamhuri ya muungano was Tanzania hasa salamu hizi zimfikie mheshimiwa rais wetu mheshimiwa wetu doctor John pombe maghufuli alifanyie kazi hili...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimeipenda sana hii Nembo yao ina picha ya mwasisi wa nchi hii na makao makuu Mwalimu julius kambarage nyerere ya pia ina alama ya zao la zabibu zao la biashara katika mkoa wa Dodoma kwanini...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu ninasumbuliwa na panya wanatafuna nyaya za tv ,kibaya Zaid wanafukua ukuta na kunijazia mchanga ndani Yan wanatoboa Hadi cement sihitaji dawa ya kuwaua bali ya kuwafukuza na kuwafanya...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za jumapili waungwana. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona pikipiki inayoitwa ya mfano iliyodaiwa kuundwa kama si kubadilishwa na shirika lililo chini ya idara nyeti iliyobeba...
6 Reactions
33 Replies
6K Views
wadau, kama ambavyo kwa muda sasa tunafahamu kuwa shule zetu za umma hasa hizi za msingi ziko katika hali mbaya sana, hasa ya kimazingira. japo watu husema wanafunzi hawafuati majengo na madawati...
0 Reactions
5 Replies
983 Views
============================ JE HOTUBA ALIYOITOA RAISI TRUMP JUU YA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA NI MATUSI AU NDO UKWELI? Ingawa Mimi siyo mwanasiasa, na sipendi kujihusisha na mambo...
13 Reactions
38 Replies
4K Views
Ajali imetokea leo majira ya asubuhi ikihusisha basi la kampuni ya Emigrace Express ambalo linafanya safari zake Dar es salaam kwenda Babati kupinduka maeneo ya Kondoa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Viumbe hai vyote vitakufa ila kiumbe huyu ataishi mpaka mwisho wa dunia Wengi wetu katika imani tunaamini kuwa ipo siku ya mwisho wa Dunia ambapo Mungu atakuja kuwahukumu wanaadamu, Lakini sio...
5 Reactions
56 Replies
14K Views
Wana jamvi, Tukumbuke ya mwandishi aitwaje Mwaibabile, ambaye alikutwa na nyaraka za serikali akahukumiwa kifungo jela.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mzuqa, Kuna kafungu kwenye mshahara wangu nimetenga kwa ajili ya bahati nasibu lottery kila mwezi. Sitaki kusema shing ngapi nikihofia baadhi ya wanajamvi wanaweza kunyoosha kwa presha ila ni...
6 Reactions
81 Replies
6K Views
MKOA wa Geita upo hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa shule ya msingi ya mchepuo wa Kiingereza ‘English Medium’ ambayo itakuwa ya kwanza kujengwa na serikali nje ya mkoa wa Dar es Salaam...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
kimsingi madini ya shaba ni mazito mno tofauti na tunavyoyaona yakiwa kwenye slates Kuna mwaka Fulani gari ya shaba ilidondoka mlima mbalizi ilibidi wakodi winchi kuyainua vile visahani vya shaba...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Back
Top Bottom