Mji wa karatu msafi sana na sababu kuu hakuna matumizi ya mifuko ya plastic ile meusi iliyo zagaa katika majiji yetu.
Tusisubiri tamko la waziri wa mazingira kupiga marufuku tunaweza anza katika...
Katika maisha yako.. ukinusa tu dalili za ushenzi wa mtu au kutofautiana lugha na mtu anza kuweka mipaka naye usisubili mpaka mgombane ndo uanze kusema kitambo naku mind bro.. hizo kauli...
Habari ziwafikie popote mlipo........
Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali...
Ni ijumaa mida ya saa 7 usiku, tangu nitoke ofisini, unajua tena mwisho wa juma nilikua na ratiba ya kuonana na rafiki yangu wa muda pale mchikichini,tukawa katika kibaa kimoja cha watu wa hali...
Naomba kuuliza wapi wanauza vitambaa vya kushonea kofia za kike ambazo wanawake wengi wa dar es salam,wanazivaa pia wapi capeti za kutengenezea mikoba zinapatikana naombaeni msaada wenu
aina ya...
Mawakili waliweka application ya kureject the money laundering charge..so mawakili wasomi wameweka nondo zao..hakimu atayafanyia kazi yote yaliyosemwa na kutoa maamuzi tar 22..so wataendelea kuwa...
Leo tarehe 29/9/2018, kiwanda cha tumbaku morogoro (TTPL) kinaadhimisha miaka 50 (birth day), tangu kilipojengwa, kilipoanzishwa mwaka 1968 kilikuwa ni miongoni mwa viwanda vya umma "vilivyo uzwa"...
Jiji la Mwanza kuna vituo vingi vya redio nikimaanisha Local/regional radios, kama
Jembe fm, Lake fm, Metro fm, Afya radio, Dira fm, Passion fm, Sauti fm, Iqrafm, Kwa Neema fm naomba nisiziweke...
Ni aina ya magari yanayojulikana kuwa ni ya kifahari na pia ni ghali sana! Wataalam wa magari naomba msaada wenu ni kitu gani kinayafanya kuwa ghali kwa kiasi hicho?
Bei inafika mpaka Tsh 5...
Leo tarehe 28/9/2018 nimeamua kujivua rasmi upinzani na kurudi CCM ili kuunga juhudi za mh rais baada ya kuridhishwa na utendaji wake wa kazi.
Asanteni.
ANAHITAJIKA MTU MWENYE DEGREE YA BUSINESS ADMINISTRATION KWA AJILI YA KUFUNDISHA CERTIFICATE NA BAADAYE DIPLOMA HUKO NYANGUGE WILAYANI MAGU MKOANI MWANZA. CHUO KINATARAJIA KUANZA JANUARY 2019...
Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje...
Na vitimoto na nini kuanzia jumatatu jamani mpaka jumapili mnapata wap ela jamani....mbona michakato tunafanya sawa wenzetu mnatoa wapi ela nyingi.
Tupeane hiyo michongo
Wakuu pale inapotokea umeachishwa kazi gafla na mfukoni huna kitu huku familia ya mke na watoto inakuangalia ni jambo gani unatakiwa ufanye kwa wakati huo kupambana na hali kabla ya kupata...
Ni wakati pia wakuu wengine wa mikoa kuiga uchapakazi wa kijana huyu wa DSM kwani akiwa kama mkuu wa kamati ya usalama wa mkoa ameingilia kati beef jipya kuhusu jina la Tanzania sweetheart kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.