Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Asalaam aleykum kwa ndugu zangu waislam.......bwana yesu asifiwe kwa ndugu zangu wakristo wale wengine kwemaaaaa ? bila shaka itifaki imezingatiwa . ndugu zangu napenda kuwambia tukio lililotokea...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Habari ya jumapili, kila mwisho wa week huwa kuna ka uzi mshenzi naweka kakuweza kung'amua ambavyo wengi wanapuuzia, Wengi wanawaona vichaa baba baran na kudhani walizaliwa hivo, hapana ni...
3 Reactions
11 Replies
6K Views
Kiukweli naombeni ushauri ndugu, wamempunguza mwenangu kwa hoja nyepesi Sana, ikizingatiwa wakati wa kujiunga na form one alifaulu kiwango wanachotaka 78 percentage.. Ni kabiti kangu ka kike atii...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mzuqa. Wanaume maaruf duniani wenye miaka 45 kuendelea kwa kas sasa hivi wanajaza mashavu kuonekana vijana. Inasemekana Putin, Rambo, Tom Cruise, Denzel washington wameshapitia "under the...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ni nadra sana mtu anapopata binti wa kazi za ndani kumkagua mwili wote ili kujiridhisha. Wakina mama wengi huwachukua wasichana na kuwakabidhi nyumba na watoto kienyeji. Endapo umemchukua huyu na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
WALIMU saba katika shule mbalimbali za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wamefukuzwa kazi kwa makosa mbalimbali ikiwamo utoro kazini. Akitoa taarifa kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Chacha aliyekuwa na ujauzito wa miezi saba, anadaiwa kugongwa na gari la jeshi hilo wakati akiwa kwenye bodaboda aliyokuwa amepanda. Tukio hilo linadaiwa kutokea juzi wilayani humo na kusababisha...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau, Napenda kutoa wazo au ushauri au msukumo au kuishawishi serikali kwamba daraja hili la mto Wami sasa linatutia aibu na lijengwe kisasa sasa maana kwa miaka hii 50 ya Uhuru hatupashwi kuona...
20 Reactions
116 Replies
21K Views
Habari wakuu, Rejea kichwa cha habari, Hebu toa maoni yako ,hii ni baada ya kusikia kituo cha sheria na haki za binadamu(legal human right center LHRC) kutoa tamko juu ya TUCTA kupoteza muelekeo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kurogwa sio udhaifu wakuu ni utamaduni tu. Nilipigwa biti mahala nikaambiwa nimepewa muda wa maangalizi wa miezi miwili baada ya hapo ni kurogwa kwa kwenda mbele. Kwa kweli baada kipindi cha...
9 Reactions
127 Replies
18K Views
Cheki account yako now
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna majina yamekuwapo katika siasa za Tanzania kwa karibu miongo 30 sasa. Hawana jipya. Wakati mwingine inakirihisha kusikia majina yao kila siku kila mwaka. Mtu kama Edward Lowassa amekuwa...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari za asubuhi, Mh. Rais Alitoa agizo kwa taasisi zote za serikali kuhakikisha wanatoa tenda ya ulinzi kwa SUMA JKT, hali sio hivyo pale muhimbili. Sina chuki na kampuni binafsi ila watumishi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwaka 1998 kampuni ya vifaa vya umeme Sony walijisahau katika uzalishaji wakatengeneza kamera karibu 700,000 zilizokuwa na uwezo wa kuonyesha mtu alichovaa ndani. Hizi zilikuwa ni Camera...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna Muda Na Mmisss Saana Yule My Ex Aliniumizaga Sana Lakini Tatizo Sina Hata Bible Kwa House! Maana Watu Wanasema Ukiona Una Mmisss Sana Ex Wako Hasa Yule Aliyekuumiza Sana Inabidi Uchukue...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
PRINCE WILLIAM AICHAGUA SAME KWA MAPUMZIKO [emoji184]Ni katika Ziara yake ya kutembelea nchi za Afrika iliyoanzia nchini Namibia, Tanzania na baadaye Kenya na kwingine. Atakaa Tanzania siku...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
"Kuchukia neema ya mwenzako haifanyi ije kwako" Mi natoka kabila moja linalodhaulika sana, nilipata nafasi ya kwenda Kilimanjaro 2015 , hakika hata vijiji vya kule ni tofauri na mikoa mingine...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamani msinione lofa mie bado cjabahatika kupata mtoto ila jilani yetu mmoja kwenye hii nyumba niliyopanga anamtoto wa miaka minne cha ajabu huyu mtoto mpaka mida ya saa tano au sita ya usiku bado...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Hizi HADITHI Mheshimiwa wa TABORA hazitaki kabisa, ukizileta mbele yake kama hakukusukuma ndani basi anakufyekelea mbaaaliii. Note: navihitaji tafadhari maana nahisi kama niliruka stage.
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Wiki iliopita ktk mkoa wa katavi mkuu wa mkoa huo mh Makala alisikika akiwaambia wakazi wa vijijini kuwa zoezi la ubomoaji wa vyoo visivyo na ubora litaendelea, wametoa muda kwa wakazi hao...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom