Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba kufahamishwa ule mpango aliousema mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Makonda mwaka jana kua maduka yote ya magari kufikia Disemba 31. 2017 yatakua yamehamia kigamboni umefikia wapi? Bado...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Napenda kuwapongeza hawa ndugu zetu polisi kwa huu utaratibu wao wa kuvuta gari haswa kukiwa kuna foleni kwa kweli nawa pongeza sana sana kwa hilo. isipokuwa kuna baadhi yao huwa wanatuchefua sana...
0 Reactions
1 Replies
886 Views
Wakuu, Baada ya wimbi hili la kuhamahama wabunge wa upinzani kuelekea CHADEMA na muda mfupi uliopita Mbunge wa Serengeti kuhamia CCM, natumia fursa hii kumshauri Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph...
5 Reactions
74 Replies
9K Views
Kwenye kila blogs 3, utakuta blog 1 ina makosa ya uandishi (spelling error) karibia kwenye kila habari inayotoa. Hii huwa inanifanya nifikirie kwamba owner wa blogs hizi AMA hawana uwezo mzuri wa...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Aisee mzazi ni mzazi tu lakini kuna kipindi wazazi hufanya maamuzi na mambo ambayo huumiza Sana mioyo na hisia za watoto zao.. Binafsi nakumbuka mwaka 2015 nlikuwa sina mpango wa kwenda Jeshi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baadhi ya yake yana ukweli. _Hii ni kwel hata kama ulikua hujui kubali tu, maana ndio ukweli uliopo)._ 1. Mtu hufanya ishara nyingi za mikono akiwa anazungumza ukweli. Azungumzae uongo mikono...
34 Reactions
75 Replies
23K Views
Jamani mm nipo tofauti kidogo na maamuzi ya viongozi wetu sijui nyie mnaonaje, MICHANGO YA RAMBIRAMBI AU ZILE POLE, YOTE WALITAKIWA WAPEWE WAHUSIKA, hawa watu wana maumivu makali mioyoni mwao...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Guys tuunge mkono campaign ya kuomba administrator wa JF kafanyie modifications application yetu pendwa kwa kuweka option ya kuweza Ku delete thread Bila Msaada mods. Zipo sababu nyingi lakini...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Diwani wa Kata ya Ukonga wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Jumaa Mwipopo (katikati) akikata utepe kufungua rasmi jengo la vyoo lililojengwa kwa hisani ya benki ya Diamond Trust Bank (DTB) kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
```*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE* Habari ziwafikie popote mlipo........ Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
1. WATU WEUSI. Hawa ndio wanaongoza kwa kuchukiwa na kubaguliwa zaidi duniani. Wanateswa na kunyanyaswa kila sehemu walipo. Ulaya, Marekani, Australia Arabuni, Mashariki ya Kati, Mashariki ya...
17 Reactions
183 Replies
24K Views
Habari ndugu zangu, namboa msaada namna ya kusajili kikundi cha maombi kama asasi ya kijamii, ni nahitajika vitu gani na wanasajilia wapi? Asante.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeshangaa Sana kuona mahojiano ya naibu waziri waa afya akiwasema wataalamu wa maabara kuwa wanatoa majibu ya uongo pia na madaktari alikosoa prescription ya dawa zao. Huu mtazamo Ni potofu na...
1 Reactions
5 Replies
990 Views
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kulikuwa na kinywaji kiitwacho yeboyebo Nilikua mdogo kipindi kile sikueza kuwa na pesa za kununua, nilikua, naumia sana kuona watoto wa wenye uwezo wakinywa huu uji...
2 Reactions
29 Replies
9K Views
Faida ya Kampuni ya Bia #Tanzania (TBL) katika nusu ya kwanza ya mwaka 2018 imeshuka kwa asilimia 16 hadi TZS bilioni 64.5 kutoka TZS bilioni 77.13 katika kipindi kama hicho mwaka jana. Kushuka...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Toka amepewa nafasi hiyo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji mdogo wa Tunduma katika wilaya ya Momba mkoa wa Songwe amekuwa akiwanyanyasa wafanyabiashara kwa kuwalipisha faini zisizo za...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuna watanzania walikuwa kila kukicha wao na Mange na Mange na wao katika kuitukana nakuikosoa Serikali kwa kila jambo sasa umetokea msiba mkubwa wataifa je huyo mdada wenu ameshawatumia hata...
9 Reactions
74 Replies
9K Views
Baadhi ya wananchi wa halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamelalamikia vitendo vya uonevu vinavyofanywa na askari wa jeshi la polisi pamoja na askari wa TANAPA ambapo wamekuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Napenda kuchukua fursa hii kuliomba bunge na wabunge wote kupitia upya sheria za TANROADS kwa maana sheria hizi ni Kali kupitiliza na zinawaumiza wananchi na zinajenga chuki kati ya wananchi na...
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Let's discuss the things which should be done before having 30 years
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Back
Top Bottom