Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,491
- 20,064
Habari za jumapili waungwana.
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona pikipiki inayoitwa ya mfano iliyodaiwa kuundwa kama si kubadilishwa na shirika lililo chini ya idara nyeti iliyobeba jina, imani na heshima kubwa ndani na nje ya nchi.
Nyumbu. Hivi kweli hichi ni kitu cha kujivunia kama mfano?, kwangu nasema hapana hichi si kitu cha nyie kujivunia kama mfano bora. Huku ni kudhalilisha wasomi na wataalamu wenu.
Nimepata kujiuliza maswali nikiwa kama mtanzania wa elimu ya kati tu!. Hivi kweli huu mfano wenu utatatua tatizo lililopelekea wito huu?, je hivi kweli mlichanganua mkakubaliana kuwa hichi chombo ni mwarobaini wa tatizo la ajali za piki piki nchini?. Kwanini mlikubali kama siyo au mlishindwa kukataa?
Embu nijuzwe vitu vifuatavyo:-
1. Uwezo wa injini ya huu mfano. Je utaweza kusukuma hili tela likiwa level seat?,
2. Uwezo wa kilo ngapi unatumika hapa
3. Je litatatua au kuongeza foleni? Na je litatumika mijini?
4. Hili tela limeungwa kwa kiungo kigumu au kinachoweza kujikunja mf. wa zile semi tela??
5. Hichi chombo kitaendeshwa kwa leseni daraja 'A' ngapi?
Yangu ni hayo tu. Naona aibu kuwaza na kusema hichi chombo cja mfano kimetoka kwenu viongozi wangu. Sita usahau wito, ubunifu na uzalendo ila hapa hapana.