Wakuu Nini maoni yako kwa Donald Trump dhidi ya Afrika...

Omary Ndama

JF-Expert Member
Apr 16, 2017
3,367
4,056
============================
JE HOTUBA ALIYOITOA RAISI TRUMP JUU YA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA NI MATUSI AU NDO UKWELI?
Ingawa Mimi siyo mwanasiasa, na sipendi kujihusisha na mambo ya kisiasa, Kuna post nimetumiwa ambayo imeandikwa kwa Kiingereza kuhusiana na hotuba aliyoitoa Raisi Trump Donald wa Marekani.
Nimeona niitafsiri kwa Kiswahili ili wengi tuweze kutoa maoni yetu kuhususiana na mtazamo wake juu ya bara letu la Afrika.
Kumbuka wakati huu karibu nchi 133 za dunia zimekutanika ikiwemo na Tanzania ambayo imewakilishwa na waziri wa mambo ya nchi za nje.
Haya ni mambo yaliyonukuliwa katika hotuba ya Raisi Trump akiongelea bara la Afrika. Naomba usome na utoe maoni yako. Akiwa anawasuta viongozi wa Afrika, Trump anahoji kwamba:
* lkiwa sasa imefika miaka 50 ya uhuru na bado viongozi wengi wa Afrika wameshindwa kuwa na miundo mbinu thatbiti kwa ajili ya watu wao, je hao viongozi ni binadamu kweli?
* Anaendelea kusema kuwa ikiwa ninyi viongozi mnakalia dhahabu, alumasi, mafuta na uranium na watu wenu wanakosa chakula, je ninyi viongozi wa afrika ni watu kweli?
* Kama mnakaa kwenye madaraka na kununua silaha kutoka kwa wageni na kuua watu wenu, je ninyi ni binadamu kweli?
* Kama mnawaza kukaa madarakani mpaka mwisho wa maisha yetu, je ninyi ni binadamu kweli?
* Ikiwa mnatumia maliasili ya nchi zenu kwa maendeleo ya familia zenu, je ninyi ni watu kweli?
* lwapo hamjali kuweka miundo mbinu ya afya za watu wenu na badala yake mkiugua mnaenda kutibiwa nchi za nje, Je ninyi ni binadanu kweli?
* Mtaheshimikaje katika mataifa yenu wakati mnapiga risasi raia wenu kama vile ni mchezo?
*Amemalizia kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika wataendelea kuwa kama wanyama hadi watakapo badili mtazamo wao na kuheshimu watu wanaowaongoza.

NB: Hadi kufikia hapo, unadhani Raisi Trump inatakiwa alaumie kutokana na tabia zake za kutukana waafrika, au labda anachosema ni kweli tukubaliane na yeye?
Una maoni gani kutokana na hotuba aliyoitoa huko kwenye kikao cha umoja wa mataifa? Hizi ni dharau za wazungu au kuna ukweli ndani yake?
Jonathan Ntare.
 
Tofauti ya Marais Wazungu waliopita na hata waliokuja Africa ni kuwa Donald Trump sio mnafiki anakusema hadharani sio wale wanaokupa msaada halafu wakikaa wenyewe peke yao wanaanza "ila hawa nao wana kila kitu lakini ni masikini"

Trump anaweza kuwa anatusaidia zaidi kuliko yule anayetusema mafichoni.
 
Trump yupo sawa, nilisikiliza hotuba yake ya Dk. 35 hivi aliongea kwa kujiamini kwa takwimu na kugusia mambo Muhimu Kwa taifa lake na dunia. Bila kusoma popote!
Somo kwetu ni viongozi kujali watu wao na taifa.
Upande mageuzi uchumi kawapa moyo wawekezaji wa ndani kukuza ajira,ndani ya Muda mfupi kapunguza nakisi biashara USA NA mataifa,kufufua viwanda na kuongeza ajira,kwa sheria mpya na kupitia Katika mikataba tata.
Sikupenda majuzi PM wetu ziara China anawakaribisha Chinese hata sector kilimo na uvuvi!? Are we mad!?
JPM yupo sawa kwa mengi kama Trump tatizo siasa chafu zinazoharibu umoja wa taifa letu,
Kuleta hofu kwa dhana yake matajiri ni wezi na kwamba yeye ni Rais wa maskini na wanyonge

Trump kafanya mkubwa pia mahusiano kimataifa kaweza punguza tension vita ya 3 ya dunia, kwa mkono wa amani kwa N.Korea, sisi HAPA tunashindwa IGA mazuri hata ya majirani Kenya ,Uhuru na Raila ,tuna haribu democrasia na kutoheshimu Katiba yetu kwa tamaa za ajabu za kishamba!?
 
Sio viongozi tu hata raia wa kawaida tupo hovyo.Hatujali elimu, muda.tupotupo bila mission wala vission.Wasomi hawafikiri out of the box ni kutekeleza mifumo waliotuachia wazungu miaka 60 iliopita bila hata ya kuifanyia tathmini na kuikarabati upya.Angalau Jpm amejaribu kidogo mfano mfumo wa ukusanyaji kodi ame update kidogo, lakini sera yake ya viwanda in prove failure kama sera ya nyerere ya ujamaa na kujitegemea kwa kukosa watalaamu wa kuitekeleza kwa vitendo.Wapo maraisi Afrika wana nia njema ila wamezungukwa na wapotishaji.
 
Trump ni mfanyabiashara na anaona uchungu sana
Anatamani kuinunua Africa kama angeweza
 
============================
JE HOTUBA ALIYOITOA RAISI TRUMP JUU YA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA NI MATUSI AU NDO UKWELI?
Ingawa Mimi siyo mwanasiasa, na sipendi kujihusisha na mambo ya kisiasa, Kuna post nimetumiwa ambayo imeandikwa kwa Kiingereza kuhusiana na hotuba aliyoitoa Raisi Trump Donald wa Marekani.
Nimeona niitafsiri kwa Kiswahili ili wengi tuweze kutoa maoni yetu kuhususiana na mtazamo wake juu ya bara letu la Afrika.
Kumbuka wakati huu karibu nchi 133 za dunia zimekutanika ikiwemo na Tanzania ambayo imewakilishwa na waziri wa mambo ya nchi za nje.
Haya ni mambo yaliyonukuliwa katika hotuba ya Raisi Trump akiongelea bara la Afrika. Naomba usome na utoe maoni yako. Akiwa anawasuta viongozi wa Afrika, Trump anahoji kwamba:
* lkiwa sasa imefika miaka 50 ya uhuru na bado viongozi wengi wa Afrika wameshindwa kuwa na miundo mbinu thatbiti kwa ajili ya watu wao, je hao viongozi ni binadamu kweli?
* Anaendelea kusema kuwa ikiwa ninyi viongozi mnakalia dhahabu, alumasi, mafuta na uranium na watu wenu wanakosa chakula, je ninyi viongozi wa afrika ni watu kweli?
* Kama mnakaa kwenye madaraka na kununua silaha kutoka kwa wageni na kuua watu wenu, je ninyi ni binadamu kweli?
* Kama mnawaza kukaa madarakani mpaka mwisho wa maisha yetu, je ninyi ni binadamu kweli?
* Ikiwa mnatumia maliasili ya nchi zenu kwa maendeleo ya familia zenu, je ninyi ni watu kweli?
* lwapo hamjali kuweka miundo mbinu ya afya za watu wenu na badala yake mkiugua mnaenda kutibiwa nchi za nje, Je ninyi ni binadanu kweli?
* Mtaheshimikaje katika mataifa yenu wakati mnapiga risasi raia wenu kama vile ni mchezo?
*Amemalizia kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika wataendelea kuwa kama wanyama hadi watakapo badili mtazamo wao na kuheshimu watu wanaowaongoza.

NB: Hadi kufikia hapo, unadhani Raisi Trump inatakiwa alaumie kutokana na tabia zake za kutukana waafrika, au labda anachosema ni kweli tukubaliane na yeye?
Una maoni gani kutokana na hotuba aliyoitoa huko kwenye kikao cha umoja wa mataifa? Hizi ni dharau za wazungu au kuna ukweli ndani yake?
Jonathan Ntare.
Ukiwambia watu acheni kuiba raslimali za nchi wanakwambia hata wewe ukipata nafasi utaiba. Hao ndo waafrika...
 
Sasa tumlauma sisi kwani katutaja sisi tuu wakati kasemea nchi zote za afrika?
 
Tofauti ya Marais Wazungu waliopita na hata waliokuja Africa ni kuwa Donald Trump sio mnafiki anakusema hadharani sio wale wanaokupa msaada halafu wakikaa wenyewe peke yao wanaanza "ila hawa nao wana kila kitu lakini ni masikini"

Trump anaweza kuwa anatusaidia zaidi kuliko yule anayetusema mafichoni.

Hivi wakati anasema hivyo alikuwa anamwambia nani au ni kipande chabhotubabyake kwenye karatas kasoma kama kilivyo andikwa.
Ila kama kunankau kweli fulani kasema
 
Binafsi naona ana hasira na hizi nchi zabafrika masharika maana ukumbukwe huyu bwana ana vita ya kiuchumi na taifa la china na haya yote ni lwa maana wachina wanawekeza sana hizi nchi ndo maana anajaribu kuponda maana yeye kashindwa
 
Hapa na mwona mahiga akifuta futa mafua puani uwongo kama kupotezea vidonge anavyopewa
Daaaahhhh najiuliza hao viongozi waliokuwa wana wakilisha nchi zao zinazopatikana africa sijui walizificha wapi sura zao "... Maana kawachana kweli kweli " kubwa zaidi kaongea ukweli mtupu " hadi aibu wallahi
 
Back
Top Bottom