Sio vizuri mwanaume kwenda bar ku-seduce offer ya bia! Ni aibu.

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Kweli, kati ya makundi jamii yenye kushirikiana vizuri katika field yao ni walevi.

Though upendo huo una gharama, ukizungushiwa nawe ujue kuzungusha(that is fact).

Hata hivyo ni AIBU, wewe mwanaume kwenda Bar au Club kugongea offer ya kinywaji.
Tafuta pass-time adventure nyinginee, Unakera wenzako bwana..! Subiri ualikwe!
 
Back
Top Bottom