Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kimsingi madini ya shaba ni mazito mno tofauti na tunavyoyaona yakiwa kwenye slates Kuna mwaka Fulani gari ya shaba ilidondoka mlima mbalizi ilibidi wakodi winchi kuyainua vile visahani vya shaba...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
anakupigia mtu simu au sms akijinadi kuwa ndiye mwalimu wa mwanao, anakupa taarifa kuwa mwanao ameugua shuleni ghafla, hivyo inahitajika pesa ya matibabu, utatuma pesa au utapiga simu kwa maelezo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
MKAZI wa kijiji cha Itumba, Ileje mkoani Songwe, Namanga Mwambene (70), ameuawa kikatili kwa kukatwa kichwa na watu wasiojulikana, huku wauaji wakiondoka nacho, hivyo kusababisha kuzikwa bila...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Umoja wa vijana wasiokuwa na ajira rasmi Tanzania.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wana jamii. Hebu tusaidiane. Hili tatizo kwa watumishi wenzetu walioachishwa kazi kwa kutokua na vyeti vya form iv. Huu ni uonevu mkubwa kwani hawa watumishi hawakujiajiri wenyewe bali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wote niliowakwaza na kuwauzi mi naona haina haja ya kuombana msamaha, We kama unasubiri siku moja Zero IQ atakuja hapa na kusema jamani wana Jf wenzangu Am sorry kwa yale mabaya...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari Wandugu. Vodacom wamepunguza vifurushi vyao siku 2 zilizopita na watu wamelalamika kuhusiana na hilo. Wakaona haitoshi wakapunguza kifurushi cha chuo pia. Na kabla ya hapo walipunguza...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Jana nilikuwa kwa interview na Multnational Company moja hivi na mwisho wa interview nikaulizwa: "UNGEPENDA ULIPWE MSHAHARA WA SHILINGI NGAPI?" Nimependa kushare nawewe, Ungejibu je swali hilo?
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Mara moja moja ninapotazama Bunge ninakuwa na wasiwasi kuwa kuna baadhi ya majimbo wanaishi watu ambao kama sio wendawazimu basi wana uwezo mdogo sana kiakili wa kupambanua mambo. Almanusura...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
WANAFUNZI 23 wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yohane cha jijini Dodoma waliokuwa wakisoma masomo yashahada ya tauhidi (theolojia) katika Kampasi ya Msalato jijini Dodoma, wanahamishiwa katika Kampasi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ushirikina ni kufanya Ibada kwa asiyekuwa Allah, au kumchanganya Allah na kiumbe katika Ibada ZINGATIO Ibada ni nini?! IBADA,ni jina lenye kukusanya,kila anachokipenda Allah na kukiridhia,katika...
3 Reactions
27 Replies
18K Views
Aisee vodacom tuheshimiane haiwezekani mnitumie msg za kujiunga na game lounge kwamba nimejiunga wakati sijafanya hivyo. Mbaya zaidi mnasema kujitoa tuma neno UNSUB kwenda no. 15362 na nikituma...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakati wa mfumo wa chama kimoja CCM ilikuwa ikimiliki mali karibia kila kona ya nchi hii, mpaka leo hii binafsi sijui vyanzo vya mapato ya upatikanaji wa mali hizo. Huwa najiuliza tu km vyanzo...
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Wanajamvi...wengi mmewasikia Mashahidi wa Uganda jinsi walivyokubali kufa kutetea wanachoamini....hapa nimefupisha habari yao lakini kwa wale ambao hawakuwahi kufatilia watajifunza kitu...
5 Reactions
42 Replies
14K Views
Katika maonyesho ya teknolojia ya uchenjuaji madini yanayoendelea Geita binti mwanafunzi wa veta shinyanga amewashangaza watu katika umahiri wake wa kuchonga vito vya thamani. Kivutio kikubwa ni...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza nianze kuwapongeza kwa wazo lenu nzuri la kujenga stendi mpya eneo la Makatanini nje kidogo ya mji wa Babati. Wasiwasi wangu na wananchi walio wengi hususani wa mji wa Babati ni udogo wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna maonyesho ya Teknolojia ya uchenjuaji madini yanaendelea mkoani Geita katika viwanja vya Kalangalala. Kivutio kikubwa ni mhitimu kutoka chuo cha madini Dodoma aliyeunda chenjulio la dhahabu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tukio la dereva wa basi la daladala maarufu Hiace, Andrew Kiwia, limeibua maswali yasiyo na majibu hasa baada ya kauli ya kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro, Hamis Issah. Wakati maswali hayo...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Daaa nimekumbuka mbali Leo, nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kutengeneza sigara kwa kusokota majani makavu ya mpapai na karatasi ,apo najiona mwamba kinoma , baada ya miaka kama 15 mbele...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mzee Mwinjuma Ali Nkonga ambaye ni miongoni mwa Watanganyika waliopigania Uhuru Wa nchi hii kabla ya Uhuru akiwa amesahauliwa na mwajiri wake ,ambapo anaishi kijiji cha Msente Handeni Tanga,ni...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom