Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,591
- 43,013
kimsingi madini ya shaba ni mazito mno tofauti na tunavyoyaona yakiwa kwenye slates Kuna mwaka Fulani gari ya shaba ilidondoka mlima mbalizi ilibidi wakodi winchi kuyainua vile visahani vya shaba sasa Jana nimeona magari maskania yana matairi mengi na yana eskot ya wide load mbele na nyuma nadhani baadhi yenu mtakuws mmeyaona tokea Zambia mbeya iringa Moro na dar!
Swali LA msingi kwann shaba ni nzito?
Swali LA msingi kwann shaba ni nzito?