jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 625
1/Kwanza hapa duniani tunapita! Hili unapaswa ulifahamu mapema... shida, raha na uzuri au takataka zote za ulimwengu utaziacha na kwenda huko unakostahili (Mbinguni an motoni).
2/Utumie muda wako vizuri! Nikiangalia movie za watu wakubwa kama Arnold Schwarzenegger, Silvester Stallon, Chuck Norris, Roger Moore na vijana wanaoelekea uzeeni najifunza ni jambo jema sana kuutumia muda wako vizuri hasa ujana kwa sababu pale ndipo unakuwa na nguvu zako zote huko uzeeeni ni taabu tupu kama huku yapangilia maisha yako vizuri.
Leo hii hao vijana wa zamani ukiwatazama sasa na ujana wako kuna kitu utakifurahia. Japo vipo vingi moja wapo ni hard working na discipline ya kazi.
3/Mtumikie MUNGU wako siku zote za maisha yako.
4/Ikimbie sana dhambi, tenda mambo yenye kumpendeza MUNGU. Kwa bahati mbaya waovu hawalitambui hili kutwa watajisiifu kwa furaha ya siku moja wakati maisha yao yote yatakua ya taabu na mafadhaiko.
Ubaya Zaidi wanaweza ishi vizuri tuu hapa duniani ila vizazi vyao vikapatilizwa dhambi za wazazi na wazee wao na hao wazazi wataenda kulipia maovy yao motoni huko.
Maandiko matakatifu yanaonyesha hili. Kwa wasiojua tuu ni kwamba magonjwa, vifo, ajali, misukosuko na mabalaa maishani yanatokana na matendo na mtu mwenyewe.
Kwa mfano kama uliwahi kuiba, kushulumu, kuua, kubaka na wewe tambua utayalipia wakati utakaojua au usiojua. Hiyo ndio principle ya dunia na kiroho kwamba "Malipo ni hapa hapa duniani" "Ufanyacho ndicho ufanyiwacho".
5/Hakuna jipya chini ya jua. Maisha yamekuwapo miaka 2018 baada ya Kiristo pia yalikuwapo miaka mingi sana kabla ya Kristo so yanayotendeka hapa duniani yalisha tendeka miaka ya nyuma. Kama wewe ni mzuri wa kusoma vitabu vitakatifu vya MUNGU, na vya historia utaelewa hamna jipya sasa kuna mambo yatafanyika ili unabii utimie.
Maandiko yanasema mbingu na dunia zitapita ila neno la MUNGU halitapita! Nikisoma kitabu cha nabii Daniel na kile cha Ufunuo naona tuko kwenye zama za mwisho za huu ulimwengu. Kwa kutumia hivyo vitabu viwili tunaona mambo kadhaa yalishatimia bado mengine machache kukamilisha ufunuo.
6/Kuwa na kiasi, linda mwili na nafsi yako, ishi vizuri na watu wako. Tii amri 10 za MUNGU na uikimbie dhambi, penda ndugu, jamaa, marafiki na adui zako kama Yesu alivyotusihi basi the rest ni kukamilisha safari yetu hapa duniani. Tngeneza future yako iwe nzuri yenye kumpendeza MUNGU.
MUNGU awe nanyi ndugu.