Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,277
Ajali imetokea leo majira ya asubuhi ikihusisha basi la kampuni ya Emigrace Express ambalo linafanya safari zake Dar es salaam kwenda Babati kupinduka maeneo ya Kondoa.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema kuna vifo vya watu wawili vimetokea na majeruhi kadhaa katika ajali hiyo.
Hakijafahamika mara moja chanzo hasa cha ajali hiyo.