Jamii yetu Inaelekea wapi?!!!!

Jamii yetu Inaelekea wapi?!!!!

Gwanggaeto the Great

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
882
Reaction score
1,908
Muziki ni Utanzu wa Sanaa unaotumia sauti ambazo hugusa Hisia za Watu.

Dhima ya Muziki ni Kuburudisha, Kuonya, Kuelimisha na Huleta Tumaini.
Miye nikiwa na miaka 6,7,8 nilikuzwa na miziki mfano Starehe FEROOZ, Nikusaidieje Prof Jay , Yah Karim Ali kiba . nyimbo hizo zilinifanya kuwa Mtu makini na mwenye kufanya maamuzi sahihi pia nimekuwa Mtu Bora katika Jamii yangu.
Tofauti na jamii za Leo ambazo zimegubikwa na Nyimbo zihamasishazo ngono mf. Kibamia , Kwangwaru na zisizokuwa na Maana yoyote zaidi ya kuburudika( shit songs) Jibebe n.k. Unadhani Hawa waliokuwa katika nyakati hizi za Jibebe ,Kwangwaru n.k wanaweza kufukia hata robo ya uwezo wangu wa Fikra miye niliyekuzwa na Mkuki Moyoni Heshima Mtazamo Afande sele,, Tamaa mbaya , Jipange blad key, Elimu Dunia. (Jibu) Hapana
Muziki si kwa ajili ya kuburudisha tu bali Huleta Faraja kwa Walio na Upweke, Huleta tumaini kwa walio kata tamaa. Lazima muziki umjenge mtu kiakili , Kiroho, Kimwili ili aweze kukabiliana na changamoto mbalimbali

Ikumbukwe Fasihi ni Chombo cha Kufundishia Jamii, kama Jamii zetu zinafundishwa ngono na Kuisifia unadhani jamii gani tunaijenga zaidi ya Mabwabwa wazinifu na Vipofu wa Upeo. Mtu huishi katika yale ambayo huyaona na Kuyasikia kila siku kwani Tabia hujengwa na Matendo yetu ya kila siku ambayo ni Mazoea. Hivyo jukumu la kukemea na Kuikomboa Jamii ni letu Sote.kama jamii yetu ikiangamia mimi na wewe tutakuwa tumehusika..
 
Kila zama na kitabu chake
 
Sikupingi ila wasanii wetu sio lazima wakufurahishe wew tu na uridhike ukitaka hivo kaanzishe Band yako nikupe na jina utaiita great conquer Band
 
Unadhani hiyo ndiyo njia ya Kuikomboa Jamii ya Watu walio katika Bahari ya Upotovu?!! Kumbuka Umoja ni Nguvu pia Kidole kimoja hakiwezi kuvunja chawa
Haya mkuu kwa kua ni wazo lako sio mbaya niheshimu tu mawazo yako ila hauko sahihi
 
Muziki ni Utanzu wa Sanaa unaotumia sauti ambazo hugusa Hisia za Watu.

Dhima ya Muziki ni Kuburudisha, Kuonya, Kuelimisha na Huleta Tumaini.
Miye nikiwa na miaka 6,7,8 nilikuzwa na miziki mfano Starehe FEROOZ, Nikusaidieje Prof Jay , Yah Karim Ali kiba . nyimbo hizo zilinifanya kuwa Mtu makini na mwenye kufanya maamuzi sahihi pia nimekuwa Mtu Bora katika Jamii yangu.
Tofauti na jamii za Leo ambazo zimegubikwa na Nyimbo zihamasishazo ngono mf. Kibamia , Kwangwaru na zisizokuwa na Maana yoyote zaidi ya kuburudika( shit songs) Jibebe n.k. Unadhani Hawa waliokuwa katika nyakati hizi za Jibebe ,Kwangwaru n.k wanaweza kufukia hata robo ya uwezo wangu wa Fikra miye niliyekuzwa na Mkuki Moyoni Heshima Mtazamo Afande sele,, Tamaa mbaya , Jipange blad key, Elimu Dunia. (Jibu) Hapana
Muziki si kwa ajili ya kuburudisha tu bali Huleta Faraja kwa Walio na Upweke, Huleta tumaini kwa walio kata tamaa. Lazima muziki umjenge mtu kiakili , Kiroho, Kimwili ili aweze kukabiliana na changamoto mbalimbali

Ikumbukwe Fasihi ni Chombo cha Kufundishia Jamii, kama Jamii zetu zinafundishwa ngono na Kuisifia unadhani jamii gani tunaijenga zaidi ya Mabwabwa wazinifu na Vipofu wa Upeo. Mtu huishi katika yale ambayo huyaona na Kuyasikia kila siku kwani Tabia hujengwa na Matendo yetu ya kila siku ambayo ni Mazoea. Hivyo jukumu la kukemea na Kuikomboa Jamii ni letu Sote.kama jamii yetu ikiangamia mimi na wewe tutakuwa tumehusika..
inategemea unapenda kusikiliza nyimbo gani, kwa maana nyimbo za kistarabu zipo nyingi tu
 
Uache kusikiliza, Umri wako umeenda

Ulivyokuwa unaona hizo wakina Ferooz zinakufunza basi hata hawa wa sasa wanaona hizi ndizo zinawafunza na kutushangaa sisi hivi tulipendea nini zile nyimbo za kina Juma Nature!!

Muda unabadilika.
 
Umenena mkuu....nyimbo za sasa hivi ukisikiliza kidogo lazima upate ashiki ya kufanya ngono Mara iokote Mara katika Mara hodari dah....Mungu okoa hiki kizazi
 
Utu uzima
Uache kusikiliza, Umri wako umeenda

Ulivyokuwa unaona hizo wakina Ferooz zinakufunza basi hata hawa wa sasa wanaona hizi ndizo zinawafunza na kutushangaa sisi hivi tulipendea nini zile nyimbo za kina Juma Nature!!

Muda unabadilika.
Utu uzima Hupimwa kwa Busara
Usitake kunidhihirishia kuwa nawe unahitaji msaada wa Haraka wa Kielimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom