Naomba ufafanuzi

Naomba ufafanuzi

SOLDIER GENIUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
358
Reaction score
244
Naomba ufafanuzi kwa wajuzi na wataalamu wa Lugha adhimu ya Kiswahili,juu ya maneno haya, mbwa na nje.kwann huandikwa tofauti na yatamkwavyo,kwann yasingeandikwa mmbwa au nnje..nijuzeni wadau wataalamu.
 
Kiswahili kiliporwa irabu zake za asili za Kiarabu.
 
Back
Top Bottom