Hebu tueleze wewe una mamlaka gani kwa kutumia sheria, kanuni zipi kuwazuia wapiga kura wetu kuvaa suti.
Mtu ahangaike kutafuta pesa, mtu ametoka kutimiza azma ya kuelekea uchumi wa kati na...
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani leo anafanya kikao na Makatibu Wakuu wa Wizara zenye jukumu la kujenga miundombinu wezeshi kwa ajili ya Mradi wa Kufua Umeme wa Megawati 2100 kutokana na...
Ni haki kwa kila aliekuwa mtumishi wa umma kupata mafao yake baada ya kustaafu utumishi wake wa umma.
Swali linakuja inakuwaje mtu huyu aliekuwa akiitumikia serikali anakaa zaidi ya mwaka bila...
*RC HAPI AMALIZA MGOMO WA DALADALA IRINGA*
*Ni uliotangazwa na madereva zaidi ya 1000*
*Wagoma kukutana na yeyote isipokua Mkuu wa Mkoa*
*Akutana nao,awasikiliza*
*Wampa tano,wasema wanarudi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Uteuzi wa Dkt. Kihaule...
Habari wakuu...................
Tusiende mbali...wale tulozaliwa miaka ya 80 tutakua ni mashahidi wazuri kwahili. ...
Watoto wa miaka hii wamekua ni warevu kupindukia..mpaka hua nashangaa...
During my time nikiwa bank, nilifikia hatua nikawa nadeal na mikopo. Nilikuwa Mbeya, sasa pale Mwanjelwa, kuna kina mama wanauza mchele pale. Wako mia kadhaa hivi. To me hawa walikuwa potentials...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imeshindwa kusikiliza ushahidi wa Jamhuri katika kesi ya kutakatisha fedha inayomkabili Mhasibu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu Wa Wilaya ya Kiteto, Tumain Bronson Magesa akifungua kikao cha viongozi na wasimamizi wa elimu MKOA Wa Manyara
Lengo ni kufanya tathmini ya utekelezaji Wa shughuli...
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu Wa Wilaya ya Kiteto, Tumain Brinson Magesa akifungua kikao cha viongozi na wasimamizi wa elimu MKOA Wa Manyara amewataka kila mmoja ajipime hasa wakati huu katika...
Kiongozi wa Shura ya Maimamu, ambaye pia ni Mwanaharakati mashuhuri Ustadh Mukadamu amefariki dunia Jana Oktoba 2, 2018 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa.
Kwa mujibu wa...
Ndugu Mtanzania, pamoja na kwamba sheria ya uhalifu wa mtandao ina baadhi ya vifungu ambavyo ni batili, kinyume na katiba, na onevu, lakini haina budi kufuatwa mpaka pale itakapokuwa vinginevyo...
Sababu zenyewe ni hizi hapa zitakazokufanya usionewe
Askari akikuomba Rushwa mkamate mpeleke TAKUKURU - Kangi Lugola Waziri wa Mambo ya Ndani.
-
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize...
Kauli, "Umaskini ni laana," ni nini?
Nani kamlaani maskini? Ni Mungu au ni wazazi wake?
Umaskini wa mali au wa fikra, au wa imani?
Je, ndo kusema kuwa, tajiri ni mbarikiwa?
Je, utajiri wa...
Kwanza Tulizoea kama unapiga simu huku salio halitoshi (huna salio) basi unaambiwa tu huna salio basi lakini hivi sasa halotel na tigo wamezua kamtindo kao (haswa halotel) wanakwambia huna salio...
Pamoja na kupewa akili na maarifa swala la binadamu kunuka mdomo limetushinda kabisa kutafutia suluhisho la kudumu.
Binadamu akifumba mdomo au akila maharage au dagaa na akae bila kupiga mswaki...
naomba kutoa hoja...
kutokana na serikali kutoongeza mishahara na maboresho yoyote na kupelekea maisha kuwa magumu kwa wafanyakazi naamini serikali ikitangaza fursa hii ya kujitoa kazini mfano...
Naomba kufahamu msimamizi wa matangazo au vipindi vya Radio Clouds FM ni nani kwa sasa? Niliyekuwa namfahamu kipindi cha nyuma alikuwa Sebastian Ndege.
Vijana 7 wale wa ‘IOKOTE’ wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuharibu Noti zenye thamani ya Tsh. 70,000 za Benki Kuu ya Tanzania kwa kuzikanyaga, aidha kesi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.