Mafao Kwa Wastaafu

Mafao Kwa Wastaafu

Dexaquin

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
230
Reaction score
80
Ni haki kwa kila aliekuwa mtumishi wa umma kupata mafao yake baada ya kustaafu utumishi wake wa umma.

Swali linakuja inakuwaje mtu huyu aliekuwa akiitumikia serikali anakaa zaidi ya mwaka bila kupata mafao yake?

Watumishi hawa wastaafu, wamekaa zaidi ya mwaka sasa hawajapata mafao yao na pia hawajui ni nini kinachoendela juu ya hatima yao juu ya mafao yao.

Labda kwa anaejua kulikoni ajitokeze awaeleze hawa wazee wanapata taabu katika kuendesha shughuli zao.

Imechukia mda mrefu saana kwa hawa wazeekupata mafao yao!

Nimewasilisha!
 
Nakumbuka dingi yangu alikua afisa wa jeshi alikaa mwaka mzima na miezi mitatu ndipo akapata cheki yake tena ni kipindi cha magu kastafu 2015.
Hawa nao acha wasote tuu
 
Back
Top Bottom