Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 3,118
- 4,238
Kwanza Tulizoea kama unapiga simu huku salio halitoshi (huna salio) basi unaambiwa tu huna salio basi lakini hivi sasa halotel na tigo wamezua kamtindo kao (haswa halotel) wanakwambia huna salio lakini simu baadae inaingia (inaita kwa yule ulikuwa ukimpigia)
Pili ni pale mnapomkopesha mtu salio af akiweka vocha hamkati deni lenu mnaamua kuja kukata siku muijuayo nyinyi wenyew (tena wanadeduct nusunusu)
Sawa huenda tukakubali ni namna ya kujali wateja wenu lakini;
1.kujali gani huko kusikozingatia muda na matakwa ya mteja?
2.Mtu una shida nae kwa haraka unampigia unaambiwa huna salio kisha kesho yake unashangaa anakuuliza yule mtu "mbona umenibipu ?"
3.Kuhusu kukopa basi mngeweka option ya mtu kuweza kulipa deni kwa hiari yake kabla ya hiyo siku mloipanga
4.simu zingine ni za majanga mda mwingine mnavuruga mahusiano ya watu kwa simu zao kuonekana zinabipiwa usiku wa manane
5.kuna muda unataka kulipa deni ili mambo mengine yaendelee lakini salio halikatwi na huwezi kusubiri hatimaye unalitumia kesho tena vilevile na tena na tena. Siku sasa unashida ya maana ndo unaweka salio kabla ya... tayari wanakata tena mbaya zaidi wanachukua kidogo nyingine wanaacha lakini wanaandika bado unadaiwa kiasi kadhaa-ina maana gani sasa!
Hata kwny txt Binafs nimewahi kuulizwa na mtu mbona umenitxt hivi nikashangaa kuja kupitia nakuta ni txt ya siku 6 nyuma tulipokuwa tunachati
Wengine tupo maeneo ya kando sana tunatumia baadhi ya mitandao kwajili tu ndo hivyo hakuna namna lakini... Au bai tu.