Umaskini ni laana. Nini maana ya kauli hii?

Addis Ababas

JF-Expert Member
Aug 5, 2018
351
353
Kauli, "Umaskini ni laana," ni nini?
Nani kamlaani maskini? Ni Mungu au ni wazazi wake?

Umaskini wa mali au wa fikra, au wa imani?

Je, ndo kusema kuwa, tajiri ni mbarikiwa?
Je, utajiri wa wizi, unyang'anyi na unaopatikana kwa kuuza bangi nao ni baraka?
Je, ikiwa una wafuasi 3mil, umewasaidiaje kuachana na laana ya umaskini?

Umaskini siyo jambo ya kusifia, ni kweli. Umaskini upigwe vita, ni kweli.
 
Laana kwani ni nini Mkuu?
Laana ni matokeo ya uasi na matendo mabaya.
kama umasikini unasababishwa na kuasi sheria na kanuni za Mungu na ujinga basi huo ni laana. Lakini kama ni matokeo ya dhuluma, na uonevu basi si laana.

Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom