Viongozi na wasimamizi wa elimu Manyara wanolewa

Viongozi na wasimamizi wa elimu Manyara wanolewa

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu Wa Wilaya ya Kiteto, Tumain Bronson Magesa akifungua kikao cha viongozi na wasimamizi wa elimu MKOA Wa Manyara

Lengo ni kufanya tathmini ya utekelezaji Wa shughuli za lanes mpango Wa kukuza stadium za KKK

Na kuandaa mkakati qa uboreshaji Wa elimu MKOA Wa manyara
 
Mkuu embu Kaa utulie uandike vizur then ukuje tena
 
Pamoja na jitihada hizo bado mimtu inaiba mitihani, na hiyo lanes inabajeti kubwa sanaa kuitekeleza, maafisa hujiandikia per diem za kwenda field wanachukua siku nyingi huko.


Matokeo yake wanaishia kuiba mitihani.
 
Back
Top Bottom