Naombeni msaada wenu

Hayo malengo yapo kilometa ngapi kutoka ulipo saizi?, Usipokuwa na bidii hizo kilometa hutozifikia na malengo yatageuka kuwa ndoto
 
Kwanza kabisa unapaswa ujue mambo yafuatayo:

Kwanza, wewe na watumwa wenzako kwenye hiyo nchi yako ya kufikirika mko kwenye utumwa gani

Pili wewe pamoja na wananchi wenzako mko tayari kukombolewa, na

Tatu kuna manufaa yoyote mtakayopata baada ya kukombolewa

Tafakari, chukua hatua
 
Fikiri hatma ya maisha yako kwanza kama unataka tukupe njia ya kutimiza ndoto yako
 
Anzisha maandamano tukuunge mkono....
Tukifanikiwa utakuwa Rais hapo utapata nafasi ya kuikoa Africa
 
Yaani Mkombozi ambaye hujui namna ya kujisaidia mwenyewe sasa ukipata nchi hao unaotaka kuwakomboa utawasaidiaje?

Nyie ndio wakina jiwe .
 
Mkuu usiliangalie hilo swala kijuu juu hivyo, lipo kiroho zaidi. Nakushauri fanya maombi Roho Mtakatifu akupe mafunuo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom