Rais Magufuli amteua Dtk. Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIDA

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Uteuzi wa Dkt. Kihaule unaanza leo tarehe 03 Oktoba, 2018.
Kabla ya uteuzi huo Dkt. Kihaule alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU).

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
03 Oktoba, 2018

IMG-20181003-WA0007.jpg
 
Onjeshaonjesha inaendelea, huyo aliyekuwepa amemaliza hata mwaka!
 
Ardhi na vitambulisho???? ndomana anawatumbua kila leo. hakuna watakwimu???????????????????
 
Mbabe ni makonda tu hata afanyeje pale kadunda ndo ujue rushwa ilivyo na nguvu huna maamuzi asingeingia dili na mzee wa makontena alishamwagwa kitambo dogo.
 
Back
Top Bottom