Assalaam Alaykum
Nataraji mpo salama na familia zenu
Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi...
Mtegemea cha ndugu hufa masikini, lakini mimi acha nife masikini. Kuna ndugu yangu mmoja anafatilia mafao yake sasa ni mwaka unaenda na kila anapokwenda makao makuu ya pspf japo ss imeungwanishwa...
Leo nimesoma mahojiano ya Balozi wa Germany hapa nchini, akisema huwa anapokea simu nyingi sana toka Germany za wawekezaji wanaoipenda Tanzania na wanataka kuja kuwekeza, lakini pale wanapopata...
Tafiti hupingwa kwa tafiti,chukua muda wako..fanya utafiti.vijana wa dar wanalalamika hela hakuna ila ni wavivu kupindukiaa..wanachagua kazi hasa zile laini laini..
Bar wanataka kukaa tu...
Baada ya gharama za vifurushi vilivyokuwa mkombozi kwangu..sasa naona sina namna zaidi kuukimbia mtandao huu pendwa maana kuna wakat najitutumua nakujiunga hivyo hivyo lakini jinsi unit...
Katika kuunga mkono juhudi za mkulu na maendeleo tukafufuliwa shirika letu pendwa la ndege ,yaani hapa kazi tu iwe mchana au usiku ...kiukweli nimeshangazwa na kusikitishwa na hiki nilichokikuta...
Wakuu poleni na kazi,
nimeshtushwa pale nlipowasiliana na ndugu yangu wa siku nyingi ambaye yeye anasoma chuo cha kimataifa cha kampala baada ya kunipa taarifa kua alichelewa kulipa Ada na...
Itifaki imezingatiwa
Kumekuwa na tabia ya sisi watanzania kuandika, kutangaza na kutukuza biashara au vivutio vya utalii vya nchi za wenzetu na kupuuza vyetu
Utakuta magari yameandikwa amazon...
Ni vyema watumishi wa umma wakaelimishwa ni nguo za namna gani wanapaswa kuzivaa pindi wanapokuwa maofisini.
Sawa kuna wengi wao wanafahamu nguo zipi zinaruhusiwa na zipi haziruhusiwi kwa mujibu...
Jana nimepeta barua ya kuanza kazi Dar es Salaam kwenye kampuni kubwa ya kimataifa yenye ofisi yake hapo mjini kwenye hayo maghorofa Samora avenue.
Natakiwa nihamie haraka iwezekanavyo, je...
wapendwa wana jukwaa poleni na
majukumu hebu wajuzi wa katiba
nchi yetu nipeni msaada kumekuwepo
na ubishani kuhusu mamlaka ya rais
kwa hawa watu
1 jaji mkuu
2 gavana benki kuu
3 CAG
Swali ni...
Moja kwa moja ndani ya hoja kuu,
Nauliza ni sheria gani kwa mkandarasi kujenga barabara bila ya kubandika bango lolote?
Mbili; kwa upana ule kulikuwa na haja gani ya kubomoa nyumba nyingi
Kiasi...
Ni vigumu kumtenga mtu aliyefiwa na mke au mume, tena katika ajali kubwa, lakini hiyo ndiyo mila ambayo bado inaenziwa na baadhi ya wakazi wa Kisiwa cha Ukara kilichopo Ziwa Victoria.
Hilo...
Fanya ufanyavyo ila misitu ya kolelo morogoro isikie tuu..kwa uchawi..hakuna cha gamboshi wa sumbawanga.
Sasa imefahamika yanga walirogea huko wakimtumia yule bibi maarufu anaeishi kule juu...
Wahamiaji haramu ishirini na nane raia wa Ethiopia wamekamatwa kwenye msitu wa maili kumi uliopo wilayani Handeni mkoani Tanga baada kutelekezwa huku wakionekana kuchoka baada ya kukaa muda mrefu...
Another Wednesday,
Katika matembezi yangu means mbali mbali, huwa nafanya tafiti zisizo rasmi au zisizo za kisayansi zaidi,
Mara nyingi nakutana na wakenya, waganda, wanyarwanda na wa nigeria...
Uwiano wa Mwanamke na Mwanaume Dunia nzima ni 1:1 isipokuwa kwenye nchi chache kama India na Uchina ambapo Wanaume ni wengi zaidi kwa sababu ya gender preference, lkn kote ambako nature ina...
MTANDAO wa wadau unaopambana na unywaji pombe kupita kiasi (TAAnet), leo unaadhimisha siku ya kutokunywa pombe duniani ambayo kwa mara ya kwanza inafanyika kitaifa mkoani Dodoma
Taarifa...
Kila mtu ananunua vitu , na ndipo hapa tunapata mahitaji yetu kama nguo , chakula nk. Zaidi ya hapo ni rahisi kununua vitu hovyo hovyo muda wote , hasa kipindi hichi cha online shopping (manunuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.