Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Achana na Hawa watoto wa mama, hawa ambao wapo walipo kwa sababu tu mama zao au baba zao walikuwa watu fulani fulani hivi. Namanisha Hawa ambao Kama si baba zao au mama zao Basi wangekuwa waokota...
1 Reactions
3 Replies
746 Views
Kwakweli sina mengi ya kusema ila kwa majeneza Yale. Aisee sio fair kabisa serikali haijafilisika kiasi hicho cha kutumia majeneza ya namba ile Ngoja tu tukae kimya tumuachie Mungu maana wenye...
30 Reactions
273 Replies
45K Views
Nakumbuka nilikuwa naangalia ITV,mara ghafla ikaingia breaking news!Kulikuwa kuna ajali ambayo ilitokea singida ikihusisha lori lilokuwa limebeba kontena! Ajali hiyo ilipelekea kontena la lori...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi. Katika muendelezo wa mada zangu za kichochezi, leo naenda kwa wale kina sisi tunaopanda gari kupitia dirishani. Ukiacha vituo vya mwanzo na mwisho wa trip na ukiacha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Nimeangali clip ya huyu Mkuu wa Mkoa wa Tabora, nimeogopa sana. Huko nyumbani natumai watu watakataa ubwabwa wa shughulii wasizozielewa wanaoletewa majumbani na rafiki na jamaa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF Nikiwa kwenye moja ya migahawa bora kabisa duniani nikipata lunch natafakari mustakabali wa nchi yangu Tanzania. Najua nyinyi mliopo huko nyumbani kwa saa zenu za Afrika Mashariki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanafunzi 53 wa shule za Unguja na Pemba wamepata ujauzito mwaka 2017/18 na 13 wameamua kurudi shule kuendelea kusoma. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Mmanga Mjengo Mjawiri ameyasema...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana hamjambo, Kuna maneno ya hizi taasisi huwa yananichanganya. Kuna tofauti gani kati ya zahanati, kituo cha afya, na hospitali ya rufaa?
0 Reactions
40 Replies
20K Views
Naandik hili nikiwa na ushahidi wa 100%.ma group yote ya whatsaap..eti ya "tuliosoma shule ya msingi...,ama tuliosoma secondary ya ... Ama chuo flan..asilimia kubwa huko tunajidaigi eti...
12 Reactions
98 Replies
20K Views
Wanafunzi hususani wale wa chuo hasa wa mwaka wa kwanza msikubali kurubuniwa au kudanganywa na watu msiowajua au marafiki zenu kwamba kuna ujanja wa kutokulipa ada au kumpa mtu pesa na kukufanyia...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania ndilo jiji ambalo wasichana na wanawake wanajihisi wakiwa salama zaidi miongoni mwa miji mikuu ya kibiashara Afrika Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa ripoti...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau, Nayaandika haya baada ya kupata mrejesho kutoka kwa mdau wangu ambaye anajishughulisha na masuala ta utafiti. Mdau alituma maombi kwa kwwnda physically miezi 8 iliyopita akiomba kibali cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa sasa wahariri wengi wa vyombo vya habari hasa magazeti, wapo mifukoni mwa mafisadi. Katika miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000s kulikuwa na magazeti na wahariri walitoa mchango mkubwa sana...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Habari zenu ndugu. Ninaomba kujua ni kisimbusi gani kinaonesha Clouds TV mkoa wa Dodoma? Pia ninawezaje kusikiliza Upendo FM huku Dodoma?
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Kuna mwanafunzi nimesikia akitangazwa na kuhojiwa Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast kuwa amesoma elimu ya sekondari miaka miwili tu na kuhitimu badala ya miaka 7 ya kawaida. Maelezo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Waingereza wanaita ‘peer-pressure’, yaani makundi-rika kwa lugha ya ‘madafu’. Watoto katika umri tofauti wa ukuaji wao wanakutana na vishawishi ama chanya au hasi kutoka kwa marafiki zao. Makala...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwanza kabisa ni vizuri tukajifunza kushukuru kabla ya kulaumu pale tunapopatwa na magumu hapa duniani. Pili kila jambo linalotokea maishani mwetu ni mapenzi ya mwenyezi MUNGU liwe hivyo cha...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Japo inatambulika kuwa baadhi ya majukumu ni wajibu wao, ila endapo huo wajibu tungepewa sisi wananume, hakika ungetushinda. 1. Mwanamke anavunja ungo 2. Mwanamke anatokwa damu kila mwezi sehemu...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miaka 28 jela kila mmoja wafanyakazi wa Benki ya NMB. Wafanyakazi hao, Mtoro Midole na Daudi Kindamba wamehukumiwa leo Jumatatu Oktoba Mosi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sasa sijajua hivi ni uoga au nidhamu za uoga, na naamini mkuu ameshawachoka anaposikia anatajwa tajwa kwenye makamera. Hivi mtu ukiongea na kusema mkuu wetu bila ya kutaja jina lake kuna kosa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom