Pamoja na kupewa akili na maarifa swala la binadamu kunuka mdomo limetushinda kabisa kutafutia suluhisho la kudumu.
Binadamu akifumba mdomo au akila maharage au dagaa na akae bila kupiga mswaki...
naomba kutoa hoja...
kutokana na serikali kutoongeza mishahara na maboresho yoyote na kupelekea maisha kuwa magumu kwa wafanyakazi naamini serikali ikitangaza fursa hii ya kujitoa kazini mfano...
Naomba kufahamu msimamizi wa matangazo au vipindi vya Radio Clouds FM ni nani kwa sasa? Niliyekuwa namfahamu kipindi cha nyuma alikuwa Sebastian Ndege.
Vijana 7 wale wa ‘IOKOTE’ wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kuharibu Noti zenye thamani ya Tsh. 70,000 za Benki Kuu ya Tanzania kwa kuzikanyaga, aidha kesi hiyo...
*NUKUU YA USIKU WA LEO.*
Unayopitia leo katika maisha yako ni matokeo ya ulichokifanya Jana! utakachokifanya Leo ndiyo kitakacholeta matokeo kesho!.
Usitegemee kuacha kusoma ukafaulu, hata...
Kwa umri wangu nimeshuhudia na kusikia mitihani ikivuja kwa kasi ya kimbunga miaka ya 1998 ,2008 na sasa 2018 tumeanza kwa kuambiwa matokeo ya darasa la 7 yamefutwa kwa baadhi ya shule.
Hivi...
Pamoja na Serikali yetu ya awamu hii chini ya mh Rais wetu kuwekeza kwenye elimu, watoto kusoma bila malipo, walimu kupewa posho hasa wanaojiita waratibu elimu katika ngazi mbali mbali.
Pamoja...
Wakuu, Mimi ninatafuta wafadhili ili nifungue NGO'S ambayo itashughulika na malezi ya watu waliokosa malazi maalumu kwa rika zote na jinsia zote sambamba na kuwatunza disabilities people, lakin...
Habari wadau namfatuta huyu jamaa yangu anaitwa Alex Nanyalo alimaliza diploma course pale Marangu TTC mwaka 2016.Mara ya mwisho alikuwa anafundisha kituo cha Twishen pale Kaloleni Arusha...
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumain Magesa, ameanza ziara kuonana na wakulima na wafugaji kabla ya shughuli za kilimo
Hatua hii imetokana na mikakati aliyojiwekea kupita kila kijiji...
Pamoja na kauli nyingi hasa toka kwa wanasiasa kukipigia debe kiswahili kuwa iwe lugha rasmi toka shule ya msingi hadi chuo kikuu lakini ukweli unabaki pale pale Kingereza ndio mpango mzima...
Habari zenu wana jamvi
.
Bila kupoteza wakati kwa porojo nyingi leo saa 8 kamili WASAFI TV wamerusha matangazo mubashara yakionyesha founder na boss wa media hiyo DIAMOND PLATNUMZ akifanyiwa...
Naombeni kujuzwa maswala haya mawili kuhusu hii mitandao:
1. Ni nani mmiliki wa mtandao wa GOOGLE?
2. Ni kitu gani kinaipa mitandao mingine kama FACEBOOK na WHATSAP utarajiri mkubwa kuliko...
Kumekuwa na usumbufu mkubwa Sana kwa abiria ,watembea kwa miguu na hata kwa watu wanaopanda na kushuka daraja eneo Karibu na kituo kikuu cha mabasi ubungo...kauli zao Utasikia.. Dodoma Au Arusha...
Atakuwa amesoma alama za nyakati au kuna kitu kimempata?
Tunaomba watu wa karibu yake hebu watupe ubuyu kidogo.
Figisu figisu na Lema naona hamna cku hizi.Au mawazo ya kuwania jimbo la Arusha...
Ulishawahi kujiuliza kwa nini tunasoma,kuna umuhimu gani wa kwenda shule na kupoteza miaka mingi katika kitu ambacho mwisho wa siku unaona hakina umuhimu kwako,
Sasa basi kwa nchi za wenzetu...
Ushirikina ni kumtegemea/kumuomba/kumuabudu asiyekuwa MUNGU kwenye maisha yako.
Hizi hapa ni tathmini chache zinazoonyesha ni kwa kiasi gani wanawake wengi humshirikisha MUNGU hasahasa kwa kwenda...
Kwangu kibu langu ndio, je wewe mdau?
Jamii forums ni mfano wa darasa, tofauti na madarasa yale mapango ya shule zetu.
Madarasa au vyuoni ukijifanya unauelewa zaidi ya Mwalimu wako atakuwajibisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.