Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchini sasa hivi kuna chombo mtu unaweza kukitumia kununua au kuuza shares zako katika kampuni iliyosajiliwa katika soko la mitaji (Dae es salaam Stock Exchange ~DSE). Kulingana na uchunguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Nchini sasa hivi kuna chombo mtu unaweza kukitumia kununua au kuuza shares zako katika kampuni iliyosajiliwa katika soko la mitaji (Dae es salaam Stock Exchange ~DSE). Kulingana na uchunguzi wa...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Wakuu mmeamka salama? Labda tujuane wote tunakerwa na makelele ya wale jamaa wanahubiri/ au kuuza bidhaa zao kwenye basi pindi liko linasafiri. Mtu unahitaji utulivu wa akili au unahitaji...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Mkuu wa mkoa wa Tabora,Mh.Agrey Mwanry amesema majirani wa wanafunzi wanaoacha shule halafu wanakaa kimya na wao wataunganishwa katika kesi ya utoro wanafunzi Nini Maoni Yako
3 Reactions
55 Replies
7K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi. Kuna hili jambo nimeliexperience sana na nadhani ndiyo asili ya mwanadamu. Kwenye maisha ni rahisi zaidi kusaidiwa na mtu mwenye asili tofauti na wewe kuliko yule...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nzega kwa tiketi ya CCM, Mh. L Seleli pia aliyehusika katika uchunguzi wa Kampuni tata ya kufua umeme wa Dharura RICHMOND. Baada ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika hali ya mdororo wa Uchumi nchini Ugiriki,Serikali imeamua kuifunga Television ya Taifa ya nchi hiyo isirushe matangazo yake hasa ikidai kuwa ni mzigo na haina faida yoyote. Zaidi ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika maonyesho ya nanenane Simiyu wajasiliamali waliwalalamikia NIDA kutokutoa vitambulisho vya taifa kunakowakwamisha wajasiliamali kusajili bidhaa na biashara zao waziri mkuu aliahidi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KAMATAAAAA HAOOO BABAAAA MIMII NIMEPIGWAA SANA TKT ZA 200 WAKATI NIMELIPA 650 HASA VITUOO VYA MAGOMENI..KMR MWISHOOO..PALE KIVUKONI...NJOO PALE MUHIMBILI WATUWAZIMA AWAANGALII KIASI KWENYE TKT...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Ilikuwa kama mzaha hivi, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumaini Magessa kuamua kwenda shambani kusikiliza mgogoro kati ya mkulima na mfugaji wote wakazi wa Kijiji cha Changombe Kata ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina king'amuzi cha azam tv sasa nikawa sijalipia kifurushi chochote ili nicheki kama wataibakisha TBC, kuja kuchek TBC haipo ila kuna jirani anasema yeye asipolipa TBC huwa inabaki sasa cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za muda huu ndugu wana JF JF ambayo ni social network iliyo dumu kwa zaidi ya miaka 10 sasa Je katika kipindi hichi chote...mnaweza nisaidia kujua faida mbalimbali ambazo JF imetuletea...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Foleni ndefu ya muda mrefu pale makutano ya TAZARA iligeuka fursa kubwa kwa wafanyabiashara wadogo "machinga" kuuza bidhaa zao zenye thamani ya mamilion kwa siku, abiria na madeva nao walikuwa...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Amefariki Leo pamoja na wenzake watatu,huko south Africa.Wakitokea kwenye mkutano wa injili Malawi.Kwa ajali ya gari.Mwezi uliopita alikuwepo Ushirika stadium Moshi,kwa mkutano wa siku tatu...
9 Reactions
83 Replies
17K Views
kupitia kitabu chako kaka mkubwa nmejifunza mengi Bab kubwa sna ndugu yngu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Guys sidhani kama kuna kitu kizuri hapa dunia kama kumtumikia MUNGU. Vitu vyote vya hapa duniani vitapita lakini MUNGU atasimama milele. Sasa wewe mwenzangu na mimi kwanini usiwekeze kwenye furaha...
51 Reactions
96 Replies
9K Views
Habar wakuu nimeelekezwa tandika kuna clinic ya kung'oa meno ila cjajuwa iko wap ...me natokea ukonga so mwenye kujuwa anipe muelekeo n wap na nashuka wap au ht ikiwa temeke s mbaya
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Nakumbuka Tunapoanza darasa la kwanza hadi la Tatu, Nguvu nyingi huwa inapelekwa kwenye kujua kusoma na kuandika. Sijajua sababu na wanajifunza miandiko hii kwakati gani katika carer yao. Kwa...
3 Reactions
57 Replies
12K Views
Habari wana Jf. Leo nimekumbuka na mengine kuhadithiwa ya zamani na nimejikuta nimeipenda zamani kuliko zama za sasa. Zamani ilikuwa mkikutana mahala basi naam mtaongea stori nyingi na kufurahi...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Kumekua na vi clip vifupi vikimuonyesha huyu mueshimiwa akisema sukuma ndani Bibi Arusi sukuma ndani mchungaji wala ubwa bwa sukumandani wote. Nimefuatilia vyanzo vya clip zile nimegundua huyu...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom