Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba kujua kama mo ndiye aliye muona mlinzi au mlinzi alimuona Mo na akawa tayar kumkamata Mo ili apate bilioni moja? Je wakat Mo anamuomba simu mlinzi mlinzi aliju kuwa kuombwa simu na kumpa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu hebu tujadili kidogo, Jana kuna ajali imetokea Chalinze na imenifanya nifikirie kidogo. Watu wamepoteza maisha, gari iliyonunuliwa kwa kodi zetu imeteketea nk. Its a loss. Lakini je ni...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Kama wewe ni dereva, siku jaribu kuendesha kwa speed ya 40km/hr kwa muda wa lisaa limoja , hapa utakuwa umesafiri km 40; halafu jaribu kusafiri umbali huo huo wa km 40 kwa theluthi (1/3) ya lisaa...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Nakumbuka kipindi nasoma sunday school kuna ndege fulani hivi weusi kanisani kwetu walikuwa wengi sana wana manyoya meusi mwili mzima kama kunguru wa huku dar ,na sio kanisani kwetu tuu na hata...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zingine za #uchumi wiki hii iliyopita: Shilingi yashuka na kuna wasiwasi kuhusu uimara wake kutokana na kupungua kwa mapato za fedha za kigeni hususan kupitia mazao ya biashara Shilling...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninapenda kuwakumbusha watumishi wa umma agenda ya haki na wajibu. Haki zenu zimeboreshwa na mnazipata kwa wakati hivyo mna wajibu wa kutuhudimia kulingana na mkataba wenu wa ajira.. Serikali...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
MKURUGENZI MKUU TEA amepongeza Kampuni ya watumishi housing kwa ujenzi Wa Nyumba hizo mbili ambazo ziko katika hatua za mwisho kukamilika. Amewataka kukamilisha ujenzi Kwa wakati ili wazikabidhi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika haki isiyo ya kawaida ninapotaka kununua umeme kutoka kwa mawakala ninalazimika kumhonga kiasi cha fedha kulingana na kiasi cha fedha ya kununulia umeme! Mimi hununua wa shs.elfusitini...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Watu watatu wamenusurika kifo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara baada ya trekta walilokuwa wamepanda kukatika tella na kuanguka. Tukio hilo limetokea kata ya Namelock Wilayani Kiteto wakati watu hao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Zamani nyama za kichwa, miguu ya kuku, utumbo, vichwa , mikia, ubongo, kwato and the like vilikuwa ni vyakula/nyama za mbwa/ vya mbwa. Siku hizi Tandale and the other such places wanakula hayo...
10 Reactions
97 Replies
9K Views
Wakati mwingine tuwe tunatumia akili kidogo, Mohamed Dewji kawashukuru waliomteka kwa kuamua kumuachia usiku wa manane wakati tuliokuwa tukisikitika, tuliokuwa tukiomba, tuliokuwa tukiliaa na...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
#HABARI Baada ya afya yake kuimarika, Mama Janeth Magufuli aibukia kanisani. ==== Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli leo Jumapili ameungana na Wakristo wenzake...
1 Reactions
43 Replies
19K Views
Ajali hii ni mbaya, imetokea eneo la Njirii Manyoni. Ambapo Gari ndogo, ya Wizara ya Kilimo na Chakula, iliyokua imebeba Wataam w4 pamoja na Dereva Wote wamefariki papo hapo. Wanaume watatu, na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mwinjilisti wa Kanisa wa Kanisa LA Kilokole la AGT,William Lemomo mwenye umri wa Miaka 54 Mkazi wa Mswakini Juu ,wilayani Monduli,Mkoani Arusha amefariki dunia baada ya pikipiki aliyokuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nina tani saba za mahindi kwa Bei ya 2.8ml. Mahindi ni masafi meupe yanangaa sana, Niko songea.
0 Reactions
1 Replies
820 Views
*CHAMA CHA MAPINDUZI KUWACHUKULIA HATUA KALI WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA WASIO SOMA MAPATO NA MATUMIZI* 21 Oktoba 2018 Katika Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Kata ya Mtoni Wilaya ya Temeke Mkoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau...mwenye uelewa wa kwann chainsaw inazuiliwa kuvuna mbao ktk misitu ya tz hasa mikoa ya kusini mwa tz...na wanatakiwa watumie nyenzo gani? Nilifikiri chainsaw inawapunguzia ugumu wa kazi...
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Ukiwa Tajiri au influential person kuna aina ya maisha unapaswa kuishi na kuna vitu hupasi kufanya kama mimi mwananchi mnyonge wa manzese kwa mfuga mbwa au wa mwananyamala kisiwani Mh huyu...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…