Kuna wasiwasi thamani ya pesa yetu yazidi kuporomoka

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Habari zingine za #uchumi wiki hii iliyopita:
Shilingi yashuka na kuna wasiwasi kuhusu uimara wake kutokana na kupungua kwa mapato za fedha za kigeni hususan kupitia mazao ya biashara
Shilling drops by 2.0pc in 10 months

Hii kutoka Daily News yaani gazeti la serikali -
FB_IMG_1540145506798.jpeg
 
Tuko kwenye raiti traki usiwe na wasiwasi tutamwita huyo mhariri was gazeti kesho abadilishe hadithi yake
 
Kukuza uchumi sio sawa na ku swaga ng'ombe...

Marekani walimchagua mfanya biashara awe rais sisi tukachagua KICHAA.

Kupanga ni kuchagua.
 
Kukuza uchumi sio sawa na ku swaga ng'ombe...

Marekani walimchagua mfanya biashara awe rais sisi tukachagua KICHAA.

Kupanga ni kuchagua.
Kipaumbele chake ni chama anasikia fahari wakina waitara na gekul wanavyohamia huko kwa gharama ndefu wakimsifia kwa gia ya kuunga mkono au wengine wametelekezwa nchi hii ina maajabu sana.
 
Tuko vizuri na serikali inafanya vizuri mhariri wa hilo gazeti anatumika na mabeberu wasio takia mema nchi yetu.
Nilichoandika ndicho wanachoita uzalendo. Wanapenda masifu.
 
Kukuza uchumi sio sawa na ku swaga ng'ombe...

Marekani walimchagua mfanya biashara awe rais sisi tukachagua KICHAA.

Kupanga ni kuchagua.
Kuna haja kila ukipata hela hata laki moja kwa Mfano
Unanunua USD na kuweka benki fixed au unazitunza hm
Miez 6 unaziuza tena
Hutajutia
 
Back
Top Bottom