Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakati mwanamfalme wa Kiafrika na karani mmoja mwanamwali Mzungu wa maisha ya wastani kutoka kwa wamiliki wa bima wa Lloyd, walipoamua kuoana mnamo mwaka 1948, ilichochea hisia mbalimbali nchini...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Natazama film ya Mwl Nyerere aliyoact Steve Nyerere naona kama bado hatujaitendea haki nafasi yake ktk jamii! Ilitakiwa tupate film inayoonesha maisha ya Julius akiwa Butiama, leo wakati mama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Tujulishane kipi kinaendelea kuhusu viwanda vilivyokuwa vimebinafsishwa halafu havijaendelezwa, serikali iliahidi mpaka ikifika mwezi wa 6 viwanda vyote viwe vinafanya kazi...
2 Reactions
13 Replies
945 Views
Mara nyingi hiki chombo cha habari cha clouds media wadau wamekuwa wakisema kipo kimaslahi binafsi lakini watu wamekuwa wakibisha. Haya angalieni tatizo la tetemeko Bukoba jinsi clouds...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Pesa imepungua mtaani ilo halina mjadala.. Hali ngumu mtaani ilo halina mjadala.. Watu wanaisoma namba ilo halina mjadala. Lakini pia lazima tukubaliane sio kila mtu pesa imepungua mfukoni.. Sio...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
I did warn you this was/is a rant. Now that being said, i am also very much curious. Mimi nimtanzania! At the age of 12 i moved to the US. Bado nina kumbukumbu nyingi nzuri za Tanzania, since...
0 Reactions
2 Replies
519 Views
NANI anataka tutukanane ili nitoe stress maana sio kwa hzi kazi za kwenda ofisini kwa mwendokasi alafu unasikia mtu ana viwanja 25,maghorofa 7,nyumba 25... Alafu eti GSM wanatengeneza malori na...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukinunuwa Tikitiki Maji likate hapo hapo ulipo nunua ukilikuta lina ufa limepasuka kama hapo kwenye picha Tafadhali usilichukuwe sio zuri kiafya Litakuwa hilo Tikitiki Maji la mbegu yake inatoka...
8 Reactions
83 Replies
16K Views
Wakuu, Niko Hapa Mwanhuzi,na Mvua Zimeanza Kunyesha Leo! Ukanda Huu wa Meatu Mvua Huwa za Nadra za Kusuasua! Kwa Mbano Huu wa Uchumi,Kilimo Atleast,Kitapunguza Makali! Karibu Tulime...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kampuni ya Frajo Media House Limited yenye makazi yake wilaya ya Bukoba mjini maeneo ya National Housing,mkoa wa Kagera inatarajia kuzindua gazeti la Hamasa mwezi wa 8,lengo la gazeti ni...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanachuo wote wanaonufaika na Mkopo kutoka bodi ya Mikopo HESLB kisheria wana mkataba Wa kudumu na bodi hiyo wa kupewa Mkopo kwa wakati. Cha kushangaza sana bodi ya Mikopo bila sababu zozote za...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
*MUNGU ANAWAONA* Kuna Meseji, zinaandikwa siku hizi na naona zinazidi kupata umaarufu sana. Mwishoni wanaandikaa *'''MUNGU ANAWAONA '''.* Hizi meseji zimelifanya kama Jina la MUNGU kuwa kitu...
12 Reactions
52 Replies
4K Views
Information is power. Wataalamu wa hali ya hewa, TMA watuambie mapema kama mji wa Dodoma ni ukanda unaofahamika kuwa na tabia nchi yenye matetemeko ya ardhi ya mara kwa mara ili wananchi...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari za majukumu wana Jamvi, Ninapenda kujua huyu Jamaa anayejiita Dr Mwaka amefikia wapi Kwenye ule mtanange wake na Dr Kigwangalah??? Maaana ni muda mrefu sijamsikia, Je?? Ndiyo Ameshachezea...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
D
HOTELI YA KCC KIBAHA MAILI MOJA YASHIKA MOTO MCHANA WA LEO Moto Mkali ukiendelea kuteketeza eneo la jiko la hoteli ya KCC iliyopo Kibaha Maili Moja, Mkoani Pwani mchana wa leo . Askari wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi ukifuatilia michango yako ya hifadhi ya jamii mfano pspf na ukakuta kuna miezi kadhaa mwajiri wako alikuwa hachangii unapaswa kuchukua hatua gani kama mwajiriwa?utaratibu unajulikana...
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Hiyo inatokana yeye na mkewe kujenga nyumba za gharama. Luxury house thamani ya dola laki 4 kutoka katika hela za rushwa. Jaji kapitisha uamuzi ashtakiwe...... Federal prosecutors in Brazil have...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Kupitia wapo radio nimesikia. Wanajamvi, Salaam. Taharuki imetanda huu mjini Kahama,moto mkubwa umezuka ambao chanzo chake bado hakijafahamika,unaendelea kuteketeza maduka ya kuuza mbao yaliyoko...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Here are some pictures of Army force of Palestina and Israel!! Free to Add and to correct!! 1.PALESTINA ARMY FORCE 2.ISRAEL ARMY FORCE
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Kamekuwa na tabia ya kutumbua wafanyakazi ambao wanaonekana kuwa na maendeleo zaidi ya wengine. Kisingizio ni kumiliki Mali nyingi. Lakini kunamawaziri wanamiliki majumba na apartment nyingi tu...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Back
Top Bottom