Kwa Wataalamu wa Ujenzi.

Kwa Wataalamu wa Ujenzi.

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
3,611
Reaction score
6,161
Hi Guys, salaam!

Mimi ni maamuma nisyejua "a" wala "be" kwenye suala la ujenzi wa kisasa na kwahiyo naomba kufahamu vifaa vyote muhimu vinavyohitajika kwenye ujenzi wa fence ya ukuta ukiondoa vile vifaa basic kama vile matofali, mchanga na maji. Assumption yangu ni kwamba, not all fences are equal in terms of used building materials.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom