Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Umewahi kusikia vimbunga vikiwa na majina ya kushangaza, mfano cha sasa kinachoitwa Matthew ambayo kimekumba maeneo ya Haiti, Jamaica, Jamhuri ya Dominika, Bahamas na baadhi ya majimbo ya...
0 Reactions
Replies
Views
Mwalimu Israel Mlowasa (40) wa Shule ya Sekondari Nkuhungu katika Manispaa ya Dodoma, amekutwa ameuawa nyumbani kwake na kiganja chake cha mkono wa kulia kukatwa na kuondoka na wauaji hao...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Redirect
Niko na mgonjwa Hospitali ya Ocean Rd Cancer Institute, alitakiwa huduma ya mionzi. Daktari ameniambia mashine zote mbili za mionzi hazifanyi kazi kwa wiki mbili sasa! Vv
0 Reactions
Replies
Views
Poleni walimu msio na wito mnaolilia kuajiliwa na serikali, zama zangu nilijitolea kwa miaka miwili huku nikiwa nimesomea taaluma hii cha kushangaza walimu nyinyi kujitolea hamtaki mnataka ajila...
2 Reactions
4 Replies
819 Views
Habari zenu. Hili tukio limetokea leo Ijumaa, katika kivuko cha MV Magogoni. Ambulance ikiwa imebeba mgonjwa, ikivuka kutokea Kigamboni kuelekea hospitali kubwa (nadhani muhimbili), kama kawaida...
25 Reactions
308 Replies
27K Views
  • Redirect
Mwalimu Auawa.....Anyofolewa Kiganja cha Mkono wa Kulia Mwalimu Auawa.....Anyofolewa Kiganja cha Mkono wa Kulia | MPEKUZI
0 Reactions
Replies
Views
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Tegeta (Tegeta High School) Dar es Salaam kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita waandamana kuelekea kwenye ofisi ya Mwalimu mkuu wa shule hiyo baada ya walimu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kagera ni mkoa unaopatikana Kaskazini Magharibi mwa Tanzania ambao umekuwa ukikumwa na matukio kihistoria kama... 1. UKIMWI - Huku wazawa waliuita edith wakimaanisha Aids kwa kiingereza, baadae...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Kuna jambo moja kubwa mno nimejifunza kwa watanzania hasa baada ya tukio lililovuta hisia za wengi wetu na lililoratibiwa kwa kiasi kikubwa na mitandao ya kijamii pale ambapo walimu wa mazoezi...
17 Reactions
144 Replies
10K Views
  • Redirect
MKAZI wa kijiji cha Chipu, Kata ya Kasense, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, Kasiano Ntalasha (80), aliyejijengea umaarufu mkubwa na kuogopeka ndani na nje ya mkoa, ikiwemo nchi jirani ya...
0 Reactions
Replies
Views
NI KWELI WALIMU WAMEMPIGA MWANAFUNZI KINYAMA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI KIJUE CHANZO KILICHOSABABISHA KUPIGWA KWAKE Na Mathias Canal Majira ya asubuhi hapo jana nilianza kuiona kanda ya sekunde...
11 Reactions
165 Replies
18K Views
Mara kwa mara nimekuwa nikisoma post mbali mbali katika mitandao watu wakilalamikia App ya MS TANZANIA (Mobile Solutions Tanzania APPS) ambayo inapatikana kupitia PLAY STORE. Inadaiwa kuwa...
1 Reactions
25 Replies
13K Views
  • Redirect
Licha ya kuwepo kwa changamoto mbalimbali katika utoaji huduma wa magari yaendayo haraka jijini Dar es salaam (DART), Kampuni inayoendesha mradi huo, UDART imepiga maarufu usafiri wa bure kwa...
0 Reactions
Replies
Views
Pengine hamjui au mnajua ni jinsi gani wafanyabiashara wanasumbuka na hizi efd mashine. Nyingi ni delicate sana na zinawasumbua wafanyabiashara. Lingine ni hizi kampuni ambazo mmezipa kazi ya...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Kipindi cha power breakfast ambacho siku za nyuma kilikuwa na mvuto sasa kinapoteza mvuto. Zamani kupitia kipindi hiki ungeweza kupata habari nyingi huku ukiwa unaelekea kazini kwako. Lakini sasa...
12 Reactions
85 Replies
9K Views
Mbabe wa uzalishaji wa Simu Janja almaarufu Smartphone, kampuni ya Samsung ya nchini Korea Kusini imesitisha uzalishaji wa Simu janja aina ya Note 7 kutokana na kadhia ya kulipuka. Ikumbukwe kuwa...
1 Reactions
2 Replies
672 Views
Ingia google then search for Kenya Police Vetting au click here: Google Jirani zetu wa nchi ya Kenya walilifanya hili zoezi na kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kuondoa baadhi ya askari wa jeshi la...
6 Reactions
53 Replies
6K Views
  • Redirect
Miongoni mwa mikoa yenye changamoto za kila aina nchi Tanzania Kagera ni miongoni mwa mikoa hiyo. Hii inasababisha hata maendeleo na ikuaji wa kiuchumi wa mkoa huo kurudi nyuma kila siku,Mkoa huu...
1 Reactions
Replies
Views
Mchambuzi mmoja anasema Prof. Lipumba atatumika vizuri huko CCM kwa sababu tayari amewasaidia kwa “kuwafanyia kazi nzuri ya kuhakikisha Edward Lowassa haupati urais ng’o.” Ushauri huu siuamini na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi kuna siri gani kwa watu wenye ndimi mbili katika maisha? Nchi yetu imefika mahali si katika siasa, uchuni, mapenzi, mahusiano yamekuwa ndimi mbili. Iwe kwa mtu unaemwamini kwa kumpa siri...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom