Hata Kanisa liko makini na jinsia moja

Hata Kanisa liko makini na jinsia moja

fish 2

Senior Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
194
Reaction score
394
Haipendeki haivitii inatia kinyaa lakini kwa karne na karne imekuwepo. Inahitaji busara kwenda nayo. Mashoga wapo makanisani misikitini je wafukuzwe. Tutazame upya.
 
Gazeti la Italia ladai asilimia 98% ya makuhani huko Roma ni mashoga - JamiiForums
FB_IMG_1540964205378.jpeg
 
Hata papa anaukubali
Mbona hata wewe ni shoga !
Au sababu dudu baya hajakutaja? Kama unabisha njoo tukupime, ukikutwa na marinda basi mie niko tayari kushitakiwa.
 
Tutazame upya kitu gan? Kama tu ukienda kinyume na maadili ya kikristo kanisa linakutenga kwann tushindwe kuwatenga mashoga...kushiriki nao ibada au shughuli zozote za kikanisa mi naona ni kulinajisi kanisa
Mwana wa adam hakuja kwa ajili ya walio na haki bali kutafuta waliopotea hiv
 
Kusema kuwaruhusu kuingia kanisani ndo kanisa limeruhusu ushoga ni ufinyu wa akili hakuna imani ya kikristu haijawahi kuruhusu ushoga uzinzi na mkristu kufanya uzinzi isiwe ishara kwamba kanisa limeruhusu hata kama ni mchungaji amefungisha ndoa mchungaji si ukristu angali biblia imeruhusu?
 
Ulaya wanafungisha ndoa za jinsia moja je huko sio kuruhusu ushoga makanisani? Na sisi pia tufanye hivyo hivyo?
 
Na wale Yesu aliowatandika makofi hekaluni Na kupindua meza zao na kuwatimua Na kuwaambia nyumba ya baba yake ni nyumba ya Sala sio pango la wahuni walikuwa watakatifu?
Fact walahi
 
Back
Top Bottom