Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nilianza kufuatilia mambo ya zodiacs miaka mitano iliyopita.....kitu kilichonivutia ni jinsi ilivyo nielezea mimi mwenyewe nikawa very obsessive.....nilimfatilia kila mtu wa Karibu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
namuomba mh lukuvi aje mwanza kuonana na hawa wahusika wanaotoa hati maana tumeomba tumekamilisha tumelipia kila kitu tangu 24/5/2018 mpaka leo kimya tunaambiwa ikisha fika kwa kamishna kwenye...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Kuna ajali imetokea jioni hii Kati msata na kwa Fungo.Vifo vipo ------------UPDATE------------ Watu 6 wafariki kufuatia ajali iliyohusisha Coaster Segera Watu sita wamefariki papo hapo na...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Ndg Wana Board na Watanzania kwa ujumla. Wakati serikali ikijifanya haiungi mkono juhudi za kulaani na kutokomeza *ushoga* yatupasa wananchi kuungana na kulaani hili jambo hawawezi kuwa wanafanya...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
UWANJA mpya wa ndege wa Instanbul nchini Uturuki, umezinduliwa rasmi Jumatatu wiki hii, lakini hautafanya kazi kikamilifu hadi mwishoni mwa mwaka huu. Kwa nini kuzinduliwa kwake kumeharakishwa...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
https://edition.cnn.com/2018/10/24/tech/tim-cook-gay-apple/index.html
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama mzazi, afya na usalama wa mtoto wako unavipa kipaumbele. Kila siku, unahakikisha kuwa mtoto wako anakula vizuri, anapumzika vya kutosha, anakunywa maji ya kutosha na ana muda wa kucheza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nchi ya Tanzania imegeuka kuwa;_ jamuhuri ya muungano wa utekaji, mauaji, tunanyiwa freedom of speech, tunaongozwa na katiba ya mkoloni, tunaongozwa na wakuu wa mikoa, wabunge, na mawaziri vijana...
0 Reactions
3 Replies
831 Views
Ushoga na madawa ya kulevya ni vitu viwili visivyo zuilika kwa namba yeyote:_ 1. Asilimia kubwa wahusika ni (a)matajiri nikiwa na maana watumiaji wa madawa ya kulevya na wamiliki au wauzaji wengi...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Mwenye habari ya kanuni mpya ya NSSF tusaidieni kuweka hapa. Binafsi nimesoma Daily News lakini maelezo ya waziri na gazeti hayaeleweki, 'vague', mara 33.3% ya mshahara italipwa kila mwezi kwa...
5 Reactions
40 Replies
8K Views
Kabla ya kwenda Kukamata muwe Kwanza mnapitia ama kwa Waganga au Watabiri ili wawaambieni kama mkiwakamata na Kuwafungulia Kesi mtashinda au mtaanguka. Huu ni mwaka wa Tatu ( 3 ) sasa nimefanya '...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Wakuu Kwanza naomba mwenye nyimbo ya narudi nyumbani ya remi ongara aniwekee hapa. Maisha yamekua magumu mzunguko wa pesa na biashara umekua mgumu Kama ni ujenzi wa nchi ndio unafanya biashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bohemian Grove Exposed! The Dark Secrets of Bohemian Grove (Free Video — 1 Hour, 50 Minutes) You are listening to an actually MP3 recording of the Bohemian Grove's 'Cremation of...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Najua majuha ya ccm yatakuja hapa kusema ooh we shoga wanaoharirisha kuja ni mashoga,jitahidini kujua dunia ipoje ndipo muongee hivyo cha kusikitisha sasa hivi SABOTAGE INATOKEA SERIKALINI KABISA...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Umoja wa Ulaya umesema kuwa umemuita Mjumbe wake nchini Tanzania Balozi Roeland van de Greer kwa ajili ya kujadili na kutathmini upya uhusiano wake na nchi hiyo kutokana na kuongezeka kwa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Azam naomba mtuache tupumzike. Give us a break!
1 Reactions
18 Replies
2K Views
NAWASHANGAA SANA. Nawashagaa sana wanaombeza Fatuma Karume kutetea mashoga, wasagaji, kurekodi filamu za ngono na mengine. Fatuma Karume maarufu kwa Jina la shangazi ni muumini mtiifu wa dini ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF kama kichwa cha habari kilivyo nami ndivyo naongeza maelezo kidogo, Nikijaribu kufuatilia sana masuala mengi ya asili yetu wanadamu jinsi tulivyo ishi hadi kufika hapa ninayokutana...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Mkaziwa Kijiji cha Mbesa Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma Bw.Abdala Mwaisabila amepambana na chui na kufanikiwa kumuua. Kijana huyo alipambana na Chui Huyo baada ya kuvamiwa wakati akiandaa Shamba...
10 Reactions
150 Replies
22K Views
Back
Top Bottom