Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Tanesco imeingia maktaba wa dola milioni 309.26(zaidi ya tsh bilioni 673 na milioni mia sita ishirini) kujenga line ya USAFIRISHAJI ya kilometa 414 toka Isinya nchini Kenya. Dondoo muhimu*...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
DC.HAPI AFUNGUA MASHINDANO YA KLABU BINGWA TAIFA YA NDONDI - Mkuu Wa wilaya Ya Kinondoni Mheshimiwa Ally S Hapi (Mgeni Rasmi) Leo amefungua Mashindano ya Klabu Bingwa Ya Taifa ya Masumbwi...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Ivi hawa mashetani TANESCO kama mkulu anavowaita kwasababu wanawatesa wapiga kura wake sio sawa na MA(SHETANI)anaye/wanao watesa vijana wapiga kura wake kwa kuwanyima ajira na kutoa ahadi feki na...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Samahani wadau naombeni mnijuze gharama za kutalii mbuga za wanyama,kwa mbuga za manyara,mikumi na serengeti ama ambaye anajua ipi ni nzuri kuanzia huduma,pia gharama za viingilio,huduma za vyumba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi Ni mteja wa Airtel mwenye no.0683 319666.Nimekuwa nikijaribu kuwatafuta hawa Airtel kwa no.100 pindi ninapokuwa Na matatizo nao,maelezo Yao hayanipeleki huduma kwa wateja! Nilikwenda...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Tumeona jinsi mawaziri watatu na mkuu wa Mkoa walivyo ng'aka na kuchukua hata haraka baada ya kuona clip ya walimu wakipiga mwanafunzi. Safi sana katika kulinda haki za binadamu. Je serikali...
2 Reactions
5 Replies
919 Views
C&p kutoka kwa Mathias Kanali SAKATA LA MBEYA SEC NA SURA NYINGINE WIZARA YA ELIMU IMETOA ADHABU KWA MWALIMU AMBAYE HAKUHUSIKA NA SHAMBULIO DHIDI YA MWANAFUNZI Na Mathias Canal Ni kama siku...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Utafiti mkubwa niliofanya kwa miezi 10 huku nikifanya mahojiano na zaidi ya vijana 3500 nakutumia vyanzo kadhaa vya nje na ndani nimegundua Jamii Forums inatoa ajira nyingi nchini huku ikishika...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna ile issue ya dada kubakwa na njemba mbili guest huko morogoro kisha kurecord video na kuisambaza. Hili tukio lilowagusa sana watanzania kupelekea viongozi kutoa matamko mbalimbali wahusika...
0 Reactions
1 Replies
563 Views
Katika watu ambao nawaheshimu ni wamiliki wa magari mabovu; Utafiti uliochapishwa katika jarida moja nchini Uingereza unaonesha kwamba mtu mmoja katika kila watu 10 wanaomiliki magari mabovu...
2 Reactions
1 Replies
852 Views
Ethiopia imezindua treni yake mpya ya kutumia umeme ambayo itakuwa imerahisisha sana usafiri nchini humo, pia Ethiopia tunaona shirika lake la ndege lilivyo maarufu na ndege nyingi kubwa Lakini...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Katika habari zilizoambatana na kutokea kwa tetemeko la aridhi huko mkoani Kagera pia ilikuja habari ya njaa iliyosababishwa na ukame katika wilaya ya Kerwa mkoani humo, kilichotokea baada ya...
1 Reactions
2 Replies
659 Views
Wakuu hebu tuambizane siku ya kwanza kula kilaji(pombe) ilikuaje! Mimi bhana nlipata mzuka wa kutongoza, kuna binti mmoja nlitokea kumpenda sana so siku ya kwanza kupiga kilaji ilibidi nlienda...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwanaume mmoja anashikiliwa na Polisi nchini Uganda kwa tuhuma za kumzika mwanae wa kiume mwenye miaka mitano akiwa bado hai. Mtuhumiwa inadaiwa alimfukia ili kumuepusha na mama yake wa kambo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Anaitwa John Mongrel maarufu kama General ni nyapara na kiongozi wa kikundi cha 28 gerezani Hebu tizama video hii ,ujione maajabu ya General,nyapara asiyekuwa na mzaha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inasikitisha,inauma mwanafunzi kupigwa kupita kiasi kama ilivyotokea Mbeya sekondari lakini inakera,inafadhaisha na inatesa akili mwalimu kukabwa koo au kukwidwa na mwanafunzi tena mbele ya...
0 Reactions
2 Replies
685 Views
  • Redirect
Wadau kunavideo inasambaa huko Instagram ikionesha wanafunzi secondari wamekamatwa wakinywa viroba na kuvuta bang kibaya zaidi ni watoto wakike. Hii inapaswa kuangaliwa kwa makini maana ile...
0 Reactions
Replies
Views
Ni baada yakupokea malalamiko ya mwanandoa ambae ni mdogo wangu kuhusiana na lala miko la mdogo wangu la kutelekezwa na mmewe ambaye amechuma nae mali nyingi nakumfanyia vitendo vyaaa unyanyasaji...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom