Kuna habari ambazo si lazima nizijue

Kuna habari ambazo si lazima nizijue

Mrs Gudman

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
613
Reaction score
1,300
Kama kichwa cha habari kisemavyo yani mimi kama mimi kuna vitu/taarifa, knowledge etc naaminigi si lazima nivijue mana huwa vina overload akili yangu tu.

Kama hadithi zinazoendelea kwa sasa, nikiingia ista hasa kwa huyu dada wa taifa hata sielewi nini kinaongelewa yani naona mlundikano wa habari ambazo nikitaka kuelewa server ya akili yangu vinalemewa tu.

Cha kushangaza ista yenyewe ni moja ya mitandao ambayo siielewi kabisa nilikuwa na acaunt siku nyingi ila siingiagi juzi juzi nika instal app nione kama naweza kuzoea huu mtandao basi jana nimeperuzi weee mwisho wa siku nime unstall tu mana kuna mambo mengi sana ambayo naona yanakula Space ya akili yangu bila faida.

Kuna vitu sitaki kuvijua kwa hasara au kwa faida, bora kuonekana mshamba hujui vingi au vyovyote lakini nisi polute akili yangu.

Mimi nikiona kitu kina umuhimu kwa maisha yangu nitakifatilia nitakisoma sana ili kinisaidie lakini vingine ukivijuwa unaharibikiwa tu.

Ni hayo tu, ushauri tukubali vingine vitupite tu bila kuviongelea wala kuvitafakari ili akili hiyo itumike kwenye mambo ya msingi.

Asante
 
Usifosi tufanane
 
Nime share uzoefu, kama wewe haukusaidii haukufundishi kuna mwenzako atajifunza

Kwani zero iq ni lazima u toe maoni kila uzi haha?
Sasa hayo ni yako binafsi siyo lazima kila mtu ajue kuwa mwanaume mwenye koromeo
 
Nime share uzoefu, kama wewe haukusaidii haukufundishi kuna mwenzako atajifunza

Kwani zero iq ni lazima u toe maoni kila uzi haha?
Sasa mkuu nitasomaje uzi bila kutoa maoni unataka unipokonye haki yangu ya kikatiba?
 
Hahaha hivi zero IQ kila uzi humu ukisomaga lazima utoe maoni??????

Sasa mimi dadako nakushauri tu uwe selective acha vingine vikupitege tu, mana siyo kila kinachoongelewa humu upo interested navyo, toa maoni vya vile pekee uko navyo interested
Sasa mkuu nitasomaje uzi bila kutoa maoni unataka unipokonye haki yangu ya kikatiba?
 
Experience?! kutuambia kua kichwa chako kina capacity ndogo ya kuelewa mambo?!
Kuwa sekective pia ni kanuni ya maisha,

Dunia ina mambo mengi mnooo ukifatilia yote unaweza kuwa hata chizi

Na mtu asipofuatilia baadhi ya mambo haina mana hana hiyo capacity, ina maana kuwa akili yake imeamua kujikita zaidi kwenye mambo ya msingi na yenye faida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom