nafikiri uzalishaji wake ni changamoto na gov haiko interested na kununua kwa wingi sindano hiyo kwa sbb case za namna hii ni chachechache mkuu endelea kutafuta siamini kama zimeisha kabisa.Nmejisikia vbaya sana
Sawa mkuunafikiri uzalishaji wake ni changamoto na gov haiko interested na kununua kwa wingi sindano hiyo kwa sbb case za namna hii ni chachechache mkuu endelea kutafuta siamini kama zimeisha kabisa.
kama vipi muone daktari yeyote mkubwa "nje ya kazi" akufanyie mawasiliano na wenzake
Upo sehemu gn maana wengne zipoNimezunguka mji mzima...hosptal na vituo vya afya vyote naambiwa tetnus imeisha...is that true jamani??? Au rushwa?
Nambie wewe ulipo kwanzaWap huko zilipo?