Mambo ya kutekwa kwa MO yameshasahaulika!

Mambo ya kutekwa kwa MO yameshasahaulika!

Acha majinga ya pale ufipani yaaiyoelewa kitu yaendelee kucheza ngoma zinazipigwa na ccm. Mwisho wa siku 2020 hii hapa huku wakiwa hawana hata bendera moja kwenye field ambako ndiko wapiga kura wapo.
 
Sasa habari ya mjini ni vita dhidi ya ushoga. Labda tusubiri gazeti la micro chip litakalotoka kesho jumanne, ahsante!
Kwa sasa ni konki konki konki master!!!!
Hata jeshi la polisi lilishaacha kufuatilia waliomteka Mo!
 
Acha majinga ya pale ufipani yaaiyoelewa kitu yaendelee kucheza ngoma zinazipigwa na ccm. Mwisho wa siku 2020 hii hapa huku wakiwa hawana hata bendera moja kwenye field ambako ndiko wapiga kura wapo.
Kwahiyo unasema serikali ndiyo iliyomteka Mo?
 
Ma-CCM na Team Makonda wanataka kuaminisha watu kwamba sakata la mashoga lilianzishwa makusudi na Bashite ili kuwandoa watu kwenye mstari kuhusu suala la Mo!

Danganyaneni huko huko! Unless kama serikalini kumejaa vilaza ndipo wanaweza kucheza blunder kama hiyo ambayo mwisho wa siku imewafanya watafutane kwa tochi mchana wa jua kali!

Kila mwenye akili timamu anafahamu Makonda alimaanisha kwa sababu pale ndipo ilipoishia akili yake!!

Labda tu niwakumbushe kwamba, suala la Mo liilishakosa mvuto kwa sababu Watanzania ni watu wa matukio na tukio ambalo lilikuwa lina-trend ni issue ya Wema Sepetu na Amber Rutty!

So, unless kama serikalini kumejaa vilaza, ndipo ingeweza kuchukua uamuzi wa kuwatoa watu kwenye mstari kwa kutumia issue sensitive kama ya ushoga wakati suala la Mo lenyewe lilishadoda na watu walikuwa wanahangaika kutafuta video za Wema Sepetu na Amber Rutty!

Unless kama serikali imejaa vilaza ndipo ingeweza ku-stage suala la ushoga wakati wanafahamu moto wake kuzimika sio rahisi hadi hatimae wanaamua kuchukua hatua za kukiri hadharani kwamba kumbe ushoga Tanzania unaruhusiwa!

Narudia, Makonda alimaanisha! Alimaanisha kwa sababu ni mtu wa kurukia mambo bila ya tafakuri!
 
Ma-CCM na Team Makonda wanataka kudanganya watu kwamba sakata la mashoga lilianzishwa makusudi na Bashite ili kuwandoa watu kwenye mstari kuhusu suala la Mo!

Danganyaneni huko huko! Kila mwenye akili timamu anafahamu Makonda alimaanisha kwa sababu pale ndipo ilipoishia akili yake!!

Labda tu niwakumbushe kwamba, suala la Mo lilishapoa na unless kama serikali imejaa vilaza, ndipo ingeweza kuchukua uamuzi wa kuwatoa watu kwenye line kwa kutumia issue sensitive kama hiyo wakati suala la Mo lenyewe halikuwa hot kihivyo!

Unless kama serikali imejaa vilaza ndipo ingeweza ku-stage suala la ushoga wakati wanafahamu moto wake kuzimika sio rahisi hadi hatimae wanaamua kuchukua hatua za kukiri hadharani kwamba ushoga Tanzania ruhusa!

Narudia, Makonda alimaanisha
Umeona eeeh
tapatalk_1541419365120.jpeg
 
Tafadhali Pata Kikombe Cha Maji Unywe

This is Tanzania
 
Back
Top Bottom