Mamlaka ya mapato mkoa wa Dodoma mnajua kuwa ukusanyaji wa kodi kupitia EFDs bado ni changamoto?

heavyload

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
900
497
Mamlaka ya mapato mkoa wa dodoma mnajua kuwa ukusanyaji wa kodi kupitia EFDs bado ni changamoto hasa wilaya ya chamwino?

Nimeanza kwa kuuliza swali kwakuwa nahisi hamfahamu kinachoendelea .Wafanyabiashara wa maduka hasa Chamwino vijijini kama kijiji cha manzase hawatumii mashine hizi huku wakiwa na mauzo zaidi 14m kwa mwaka.

Nasikitika kusema kuwa tra Dodoma hasa Chamwino mnaweza mkawa ni sababu ya serikali na wananchi kuibiwa mapato kutokana kutofuatilia wezi hawa.

Kuna wafanyabiashara unakuta ana store kubwa halafu anazuga na kaduka kadogo huku mzigo alionao store ukiwa ni mkubwa.

Naomba kwa heshima kubwa mamlaka hii ifuatilie watu hawa.Mkitaka maelekezo zaidi kutoka kwangu niko tayari. No zangu za simu ni 0717438020.

Natanguliza uzalendo kwanza.
 
wewe una biashara gani ambayo unalipa kodi, uzalendo sio umbea tu
 
Bwege sana wewe, hivi wewe una hata TIN namba kweli, au unaropoka tu
 
Mkuu utaambulia matusi kupitia huu uzi ndo hapo utapojua kuwa humu jukwaani kuna watu hawapendi uzi zenye kuhamasisha maendeleo. Wengi wanataka serikali ifail wacheke, ila hili swala ni kweli na sio Dodoma tu karbu nchi nzima nilkopita nilifanya kautafiti na Mwanza nako hivyohivyo ni juzi tu nimenunua vitu mini supermarket fulani hivi risiti hawana za EFD. Na hisi kama TRA hawafanyi kazi zao vizuri hii inakatisha tamaa wananchi walioitikia wito wakulipa kodi.

Ninachoamini mimi serikaki ingeweza kukusanya pesa nyingi mno hata kufikia Trl 1.8 kwa mwezi endapo wangesimimamia hili zoezi vizuri.
 
Nilijua kuwa lazima tapata critics haizuii ukweli. Kuhusu suala la kuwa na TIN no mimi ninayo,leseni ninayo na ninalipa kodi na ushuru zote kama sheria inavyotaka

Hope wahusika hii wameipata na wataifanyia kazi. Kuhusu suala la no zao nimejaribu kupiga hamna response.

Nasisitiza uzalendo kwanza
 
Mdau muanzisha Mada,
Maelezo yako yamekuweka uchi kuwa wewe huzijui hizi mashine,huna hiyo tin number na inawezekana wewe hujawahi Fanya biashara.
Hata kama umewahi basi, Hukujipa muda wa kutosha kuelewa biashara na masuala mazima ya TRA.
 
Mkuu utaambulia matusi kupitia huu uzi ndo hapo utapojua kuwa humu jukwaani kuna watu hawapendi uzi zenye kuhamasisha maendeleo. Wengi wanataka serikali ifail wacheke, ila hili swala ni kweli na sio Dodoma tu karbu nchi nzima nilkopita nilifanya kautafiti na Mwanza nako hivyohivyo ni juzi tu nimenunua vitu mini supermarket fulani hivi risiti hawana za EFD. Na hisi kama TRA hawafanyi kazi zao vizuri hii inakatisha tamaa wananchi walioitikia wito wakulipa kodi.

Ninachoamini mimi serikaki ingeweza kukusanya pesa nyingi mno hata kufikia Trl 1.8 kwa mwezi endapo wangesimimamia hili zoezi vizuri.
Sina shaka na hili maana ni kawaida kwa watu wasiopenda maendeleo kukosoa wanaojitoa muhanga kuisaidia serikali tena bila malipo katika utendaji wa kazi zake
 
Mdau muanzisha Mada,
Maelezo yako yamekuweka uchi kuwa wewe huzijui hizi mashine,huna hiyo tin number na inawezekana wewe hujawahi Fanya biashara.
Hata kama umewahi basi, Hukujipa muda wa kutosha kuelewa biashara na masuala mazima ya TRA.
Tafuta hoja nyingine ninajua ninachosema.Asante
 
Ok
Mamlaka ya mapato mkoa wa dodoma mnajua kuwa ukusanyaji wa kodi kupitia EFDs bado ni changamoto hasa wilaya ya chamwino?

Nimeanza kwa kuuliza swali kwakuwa nahisi hamfahamu kinachoendelea .Wafanyabiashara wa maduka hasa Chamwino vijijini kama kijiji cha manzase hawatumii mashine hizi huku wakiwa na mauzo zaidi 14m kwa mwaka.

Nasikitika kusema kuwa tra Dodoma hasa Chamwino mnaweza mkawa ni sababu ya serikali na wananchi kuibiwa mapato kutokana kutofuatilia wezi hawa.

Kuna wafanyabiashara unakuta ana store kubwa halafu anazuga na kaduka kadogo huku mzigo alionao store ukiwa ni mkubwa.

Naomba kwa heshima kubwa mamlaka hii ifuatilie watu hawa.Mkitaka maelekezo zaidi kutoka kwangu niko tayari. No zangu za simu ni 0717438020.

Natanguliza uzalendo kwanza.
Ok; nadhani watakutafuta. Hongera, hujaeleza kwanini wakutafute
 
Hizo mashine singewekewa mkazo kama zile za po,li,si kitengo cha magari barabarani....makusanyo ya silikale yangevuka 2t kwa mwezi
 
Back
Top Bottom