Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakuu amani iwe nanyi. Kuna Jamaa mmoja yupo Sacramento California Marekani nataka kufanya biashara nae. Sasa kwa kuwa inahusiana na kutumiana fedha ningependa kuasaidiwa kujua kama huyu mtu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Baadhi ya wafanyabiashara waliokuwa wakifanya biashara zao katika soko kuu la Manispaa ya Morogoro waliotakiwa kuhamia soko la nanenane kupisha ujenzi wa soko la kisasa wamekaidi kuhamia nakuanza...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Ndugu zangu kumekuwa na uvaaji wa buti za rangi ya kaki kwa askari wengi wa jeshi letu nadhani mumewahi kuwaona huko mitaani pindi wanapokuwa wamevaa uniform zao. SWALI.. NI LINI ZILE BUTI...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari wakuu! Hili tukio liliotokea la tetemeko kagera, nimesikia serikali haitawajengea nyumba zao waathirika wale, sasa wazo langu la fursa kwa serikali.. Kwa nini isiwatafutie eneo kingine...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
  • Redirect
NI KWELI WALIMU WAMEMPIGA MWANAFUNZI KINYAMA HUKO MKOANI MBEYA LAKINI KIJUE CHANZO KILICHOSABABISHA KUPIGWA KWAKE. Na Mathias Canal Majira ya asubuhi hapo jana nilianza kuiona kanda ya sekunde...
1 Reactions
Replies
Views
Hivi nyie TANESCO Vikindu mna matatizo gani? Mbona kila Jumamosi mnakata umeme kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 12 jioni Bila maelezo yoyote? Huku kuna tatizo gani ambalo kila Jumamosi umeme...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Habari jf kwanza nitoe pole kwa huyu jamaa aliepatwa na mkasa mzito wa kuondolewa macho yote mawili,pili alaaniwe yule mnyamabinadamu alietekeleza jambo hili la kutisha. tatu naomba nieleweshwe...
0 Reactions
Replies
Views
Wadau mimi nimehamia Mbeya toka Kigoma.Ajabu nimeanza kupatwa na hali nisiyoielewa bado.Yaani kila ninapoamka nakuwa nimechoka sana mithili ya mtu aliyetoka job. Mara ya kwanza nilianza kuwa na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuhusiana na tukio la Hekaheka ya jana kuhusu Mwanaume mmoja mkazi wa Ubungo Makuburi Saidi almaarufu baba D kujeruhiwa vibaya na kutolewa macho na Mbabe mmoja wa Buguruni anayejiita Scorpion tena...
21 Reactions
248 Replies
47K Views
  • Redirect
Habari wana jamvi, Nimepokea kwa furaha kusikia yule mwanaume aliyemfumania mkewe kisha kumdharirisha kwa kumpiga picha za utupu na kuzitawanya mitandaoni kafungwa maisha na mwenzake aliyekuwa...
0 Reactions
Replies
Views
Ukishapata chuo ni lazima upate na mkopo???mi tayari nimepata chuo...wasiwasi wangu mkopo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hata baada ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kufikia kutangaza kuwa imefanikiwa kudhibiti wizi wa mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi na sekondari imeelezwa kuwa kuna shule zinazofundisha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Redirect
Katika tania ya uandishi wa habari kuna mambo ambayo huwezi kutengeneza habari KWA haraka kuliko mengine.mambo hayo yanaweza kuwa umaarufu, cheo, umuhimu wa jambo, mihemko ya jamii(prominent and...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwanafunzi Alivyochochea Hasira za walimu. [emoji654]Siku ya walimu yaingia dosari Kulingana na maelezo ya Kamusi ya kiswahili sanifu, toleo la pili, 2004,dosari ni kasoro,walakini.Dosari ni...
0 Reactions
Replies
Views
Katika kipindi cha kipima Joto kinachorushwa na kituo cha I.T.V kuna majibu matatu ktk kuchangia mada..ndio, hapana na la mwisho ambalo ndio sijawahi kuliona hata ktk shule za Kayumba nilizowahi...
0 Reactions
4 Replies
736 Views
Labda ni Mishahara haitoshi
5 Reactions
262 Replies
23K Views
Siku ya jana wananchi mbalimbali wametumiwa meseji kuwa waende tigo bima mikocheni chaajabu wamefika wanaambiwa hawaitambui Tigo bima,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi, huku mmoja akiwahiwa kabla hajalipua bomu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba amesema tukio la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tulio zaliwa miaka ya 90's hii itakuwa ni stori kwetu kusikia babu zetu na baba zetu wakituhadisia Tanga ilivyo kuwa hodari ya viwanda miaka ya nyuma, nafurahi sana kusikia habari hizo lakini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Kwanza napenda kupongeza juhudi za Rais wetu kwa jitihada anazozifanya katika kuhakikisha matumizi ya pesa za Serikali yanakuwa katika taratibu nzuri na pia kuzuia mianya yote iliyokuwa ikitumika...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom