Dudu baya kunya chumbani ni ugonjwa au ubabe tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Mke wa dudu baya aliwahi kumlalamikia mtangazaji wa radio Wapo Anthony Joseph kwamba mumewe anajinyea kitandani. Wale wasikilizaji wa Wapo radio watakumbuka hii wakati ule Anthony Joseph bafo yupo Wapo na anaendesha harakati za kutetea watu walioumizwa kwa namna moja au nyingine. Je mtu mzima kujinyea kitandani ni ugonjwa?....... Kama ndio unasababishwa na nini?
Je, ni ubabe wa kishamba?
Usiku mwema!
 
Konki hajamtaja huyo mtangazaji kwenye list kweli ?
 
Mke wa dudu baya aliwahi kumlalamikia mtangazaji wa radio Wapo Anthony Joseph kwamba mumewe anajinyea kitandani. Wale wasikilizaji wa Wapo radio watakumbuka hii wakati ule Anthony Joseph bafo yupo Wapo na anaendesha harakati za kutetea watu walioumizwa kwa namna moja au nyingine. Je mtu mzima kujinyea kitandani ni ugonjwa?....... Kama ndio unasababishwa na nini?
Je, ni ubabe wa kishamba?
Usiku mwema!

Na nyie hebu acheni huko ' Kutambaliziwa Unyabeni ' Kwenu ili huyo Dudu Baya asiwe na la kusema ila kwa Sisi Watoto wa Mjini hasa wala hatumbishii na hiyo ' list ' yake kwani ina usahihi wa 99.9%. Tena kuna wengine hajawataja na sijui kwanini amewaacha labda hawajui tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom