Watuhumiwa hao ambao ni Joseph Machecho na Jackson Zebedayo wameachiwa huru baada ya DPP kuwasilisha hati mahakamani ya kuonyesha kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi .
Chanzo : Mtanzania Digital...
Wanabodi
Mimi binafsi nampango wakuipekeka kampuni ya simu mahakamani nawasiliana na mwanasheria wangu anisaidie ila kabla ya kuanza mchakato natafuta ushauri.
Vodacom wanaingilia uhuru wangu...
Hali ni tete katika kituo cha kimara kama ilivyoripotiwa na Benjamin Mzinga wa ITV msongamano wa abiria ni mkubwa na watu wanaathirika kwa kuumizana na kukosa hewa.
Source: ITV mubashara!
=====...
Wakuu salaam,
Jiji la Dodoma wengi tunapita hapa tukiwa wageni wa viunga/sehemu/maeneo/joints za huduma mbali mbali, ikiwemo maakuli, bar, huduma za afya na sehemu za starehe. Hotels Nzuri zenye...
Kamati ya Roho mbaya inauliza kwanini wazungu wakitunyima misaada wanaitwa Mabeberu, wanyonyaji na wezi wa rasilimali zetu wakati huo huo wakitupa msaada wanaitwa wahisani na watu wenye kuitakia...
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na kauli na mijadala mbalimbali juu ya ujauzito hasa kwa wasichana wadogo.
Hapa tunaposema wasichana wadogo tunamaanisha wale walio chini ya umri wa miaka 18 au...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kutumia simu elevu (smart phones), kutazama channel TV mbali mbali na kupekuwa mitandao ya kijamii tofauti tofauti kama Jamii Forums, Twitter, Facebook, Instagram...
Tafadhali tunaomba mfumo wa habari urudi kama ilivyokua awali sio siri naona kama TV channels za Azam, Itv, Clouds, Star TV, east Africa, Capital, Channel Ten, nk zimefifia mno!
Hivi hili...
Kuna ile tabia unamuona mtu unayemfahamu,kafanya jambo la ajabu,ndivyo sivyo(kama kukojoa hadharani kwa mtu mzima wa heshima,au kuokota msosi wa chini,kutupa taka pasipostahili and the like..)bila...
Hbr ya jioni dungu jamaa na marafiki.
Kiukweli maisha yanaenda mbio sana.tukiwa ktk harakati za ku uwaga mwaka 2018na Leo tupo ktk tar 17 nov, hii ni dhahili mwaka upo ukingoni.pamoja na masiku...
Inauma sana sana jamani kuna askari wawili wamepigwa visu na wameletwa Hospitali ya Masana njia ya goba
Imetoka ushauri wapelekwe Muhimbili wanavuja damu zaidi ya nusu saa sasa wapendwa
Msaada...
Nchi yetu Tanzania timeshuhudia vipindi vya marais wengi.Ila kwa uelewa na ufuatiliaji wangu,tunaweza kukaa muda mrefu sana tusipoangalia katika kupata rais kama huyu JK wa pili hapa nchini.
Japo...
Mimi binafsi sikubaliani na kuwafukuza watoto waliopata ujauzito shuleni.
Cha ajabu wanawake walioko kwenye nyadhifa serikalini wako kimia juu ya watoto wa kike kufukuzwa shuleni wanapopata...
Wahitimu wa Chuo cha Urembo cha Manjano wametunikiwa vyeti katika nyanja ya urembo na vipodozi (Cosmetology). Baadhi ya wahitimu waliofika kwenye mahafali hayo walivikwa taji kama ishara ya...
Ndugu wale wadau wa kangomba chukua hii...
Km ulinunua korosho kuanzia tani3 jiandae kuonyesha shamba lako...
Huu ndio msimamo wa serikali...imegundulika korosho nyingi si za wakulima halisi...
Ndugu zangu naamini humu kuna watu wenye uelewa.
Nimefikia maamuzi ya kuachana na hizi kazi za kyajiriwa.
Mipango yangu;
Nina mtaji wa milioni 8
Kiwanja kama heka 6 zipo tiari kule kijijini...
Jamani nahitaji kujua kama kuna mtu amewah fanya hizo shopping za BLACK FRIDAY kwa hapa TANZANIA ! sina uelewa sana na hii black friday mwenye uelewa nayo pls nifungueni macho jaman
...
Basi linalomilikiwa na kampuni ya Sharon Classic lililokuwa linatoka Moshi kuelekea Iringa, limeteketea kwa moto maeneo ya Bicha wilayani Kondoa.
Kwa taarifa za awali na shuhuda wa tukio hilo la...
Nianze kwa pongezi unafanya kazi nzuri sana.nilikuwa na ushauri mheshimiwa Mimi nimecheza kamari za dog racing,keno na hizi za sports betting kwenye majumba ya kamari sijawahi kula hela ya...
Nairobi, Kenya. Bodi ya Wataalamu wa Madaktari Kenya (KMPDB) imelitaka Shirika la Marie Stopes kuacha kujihusisha na utoaji wa huduma za utoaji mimba kwa wanawake.
Bodi hiyo pia imeamuru, Shirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.