Hivi ni mimi tu au sie wote tupo hivyo?

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,312
6,638
Kuna ile tabia unamuona mtu unayemfahamu,kafanya jambo la ajabu,ndivyo sivyo(kama kukojoa hadharani kwa mtu mzima wa heshima,au kuokota msosi wa chini,kutupa taka pasipostahili and the like..)bila ya yeye kujua kuwa umemuona,then akikuona na wewe unajifanya kama haujaona alichokuwa anakifanya ili asijisikie vibaya,hii huwa naifanya mara nyingi sana,je kuna mwingine yeyote ashawahi kufanya hivi,tupeane uzoefu wa ile feelings tafadhali...
 
-
Yule demu alieniambia juzi Nikuambie kitu
nikamkaushia sasa leo nampigia simu naskia
sauti ya kiume nazani atakua babake uyo:(
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom