Mzuqa
Georgia na Belarus walifuatwa na kushawishiwa milango hiko wazi kwao kujiunga EU umoja wa ulaya kama watakubali ushoga. Weeeeee!!!
Wakasema potelea mbali na iyo EU yenu. Sasa hivi tangu...
habari jf
niende moja kwa moja kwa mada nimesikia watu wengi usema shida na mateso ufanya wengi kumkumbuka Mungu lakini nimeona wengi utafuta njia mbadala katika kutatua shida na mateso kwa...
Kazi ipo!
Na hii ni kwa mujibu wa Kampuni / Taasisi ya Utafiti ya huko Ulaya iitwayo Charities Aid Foundation ( CAF ) ambao imedai kwamba Wakenya na nchi yao kwa ujumla ndiyo wanaongoza kwa kuwa...
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??
Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama...
Magari ya abiria Yana tabia za ajabu Sana kwanza ni mabovu. Si Mara moja au mbili, tunakemea tabia zao hizi bado kero haziishi.
Ukiwa unatokea Dar es salaam unaweza ukaona wanapaki vituo vikuu na...
Habari wanaJF
Kichwa kinajieleza, hivi hii tabia ina maana gani? Kwa kweli haipendezi hata kidogo, dada yangu Karucee huwa amezoea kusema 'JF is a jungle, tread carefully'... Kwamba ni lazima uwe...
Niende moja kwa moja kwenye mada,siku za karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Mabus ya abiria kuungua moto na kuteketea kabisa yakiwa safari na sababu kubwa utasikia ni hitilafu ya Umeme.
Leo...
Watu wa zaman enzi za mitume kabla ya Farao/firauni! Enzi za kina NUHU
kulikuwepo na watu warefu sana ambao kwa urefu wao walikuwa warefu sana, Walipimwa kwa ZIRAA ,
(kwa sasa ziraa moja...
habari jf
mimi binafsi natumia njia zifauatazo kutuliza majeraha ya nafsi. hizo njia ni kama ifuatavyo
1:kutoiaminisha nafsi yangu kushindwa katika pito/ jambo lolote gumu nipitialo ambalo...
Nawaiteni walenga watungaji wa zamani
Wenye ujuzi kutunga, mafumbo ya kila fani
Kuna jambo lanitinga, mnitoe mashakani
MDUDU KAINGIAJE NDANI YA KOKWA YA EMBE?
Huu uharibifu mnaoufanya wa kukata miti hovyo kwa sababu tu imeota kwenye njia zenu za mtaani ni ujinga na kutojitambua.
Miti hii ilipandwa humu mjini ili kuleta hewa safi ya oksijeni na kuleta...
Sijui ni kwa madiba, sijui ni bongoland, sijui ni USA, duu!!
Mbona umeniachaniza mpiga kura wa usa river na manga manga peke yangu ilihali mwaka wa faraja ulikuwa unasogea!! wap papaa NASARI...
Wakuu, Waislam wamesheherekea sikukuu ya IDD juzi na wengine jana.
Sasa nauliza, kwakuwa mji wa Mecca ulikutanisha binadamu zaidi ya Milioni Mbili kutoka mataifa mbali mbali, je ni faida zipi...
1. Uwe unajua kusoma na kuandika tu (kiswahili).
2. Kupitia katika chama Fulani nk
Inawezekana tunawanyoshea baadhi ya wabunge wetu vidole kimakosa kabisa bila kujua tatizo lipo wapi!!!
Je...
Kuna jambo limenigusa siku ya leo wakati antazama documentary flani inayohusu kupotea kwa msichana mmoja anaitwa Phoenix Coldon alipotea mwaka 2011 huko Missouri USA.
Kupotea kwake kumeacha...
Wakuu shkamooni!
Leo nimekwenda Hospital moja ya Private ila yaliyonikuta nilijikuta nimeanza kuchanganyikiwa gafla huku mwili ukitetemeka.
Baada ya kufika mapokezi nikàfanya taratibu za kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.